Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama.
Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi...
RAIS SAMIA ATOA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA ANGA, ELIMU, MRADI WA SGR NA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWALIMU NYERERE.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan aendelea na...
Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia...
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na...
May mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Madini ya Tanzanite yanapouzwa ovyo yanashusha thamani yake, akisema yanatakiwa kuuzwa kwa mpangilio maalum
Ameeleza hayo leo akizungumza na Wananchi Manyara na...
Na Thadei Ole Mushi.
1. Polepole ni Mwana CCM Masalia ya Magufuli. Yeye anaamini katika Magufuli na sio katika Chama Wala Misimamo ya Chama.
2. Polepole kiasilia si mwanasiasa Bali ni...
Huu ndio utabiri wangu siku Mbowe anatoka Mahabusu. Atazungukwa na Media za kitaifa na kimataifa na ujumbe wake utakuwa ni huo au wenye kufanana na huo.
Historia ya mapambano ya kudai Katiba Mpya...
Siku moja kabla Askofu Gwajoma hajahojiwa na kamati ya bunge niliibua uzi unaosema bunge halina mamlaka ya kumuhoji alichoongea kanisani.
Hivyo nikashauri Gwajima akatae kujibu swali lolote...
President Samia Suluhu Hassan has kicked off the recording of a documentary titled 'Royal Tour'.
The recording of the documentary that is meant to promote Tanzania internationally started on...
Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu.
Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia...
Hii ndio taarifa ambayo watu wote wapenda haki mnatakiwa kuifahamu , Ikumbukwe kwamba kumuombea Mbowe ni kuiombea nchi pia , ni kuomba haki itawale nchini na ni sawa na kuombea mafanikio ya KATIBA...
Gazeti la mwananchi toleo la leo limeripoti upotevu wa dhahabu ya bei kubwa hivyo kupelekea vigogo kadhaa wa madini kuingia matatani.
My take.
Enzi za kuzaliwa kwa mabilionea wa madini kama akini...
Binafsi nimefanikiwa sana kuzunguka mikoa kadhaa ya nchi kwa kazi maalumu za miradi ya afya. Kwa sehemu kubwa nimejionea namna zahanati zilivyojengwa hadi vijijini kabisa
Tatizo kubwa la nchi hii...
Askofu Bagonza
Jana mchana, mtandao wa Jamiiforums ulitutaarifu kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ataongea na umma wa Watanzania. Mpaka sasa hajasikika. Wakati tunasubiri hotuba yake...
JE TOZO ZA SIMU ZITAKUWA CHANZO CHA UHAKIKA CHA INGIZO LA FEDHA.!?
Leo 10:15hrs 05/09/2021
Mwaka 2017,Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa...
"Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja.
Katika kutekeleza azma hii, Siku ya...
Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi...