Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026. Kulingana na...
2 Reactions
13 Replies
339 Views
Kulingana na hali ya Mvutano unaoendelea Masharaiki ya Kati Mataifa mengi kwa sasa yanapitia hali ngumu kwenye issue ya mafuta hasa baada ya Iran kufunga Mlango mkuu wa bahari ya Hormuz...
5 Reactions
10 Replies
587 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Februari, 2026, fursa za ajira 625,273 zimezalishwa Tanzania ambapo kati ya ajira zilizozalishwa, ajira 242,656 za wazawa zilitokana na...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Sensa ni mpango wa kuhesabu idadi ya watu waliomo pamoja na Mambo Mengine, ikiwemo elimu Yao nk, lengo kuu likiwa ni kuwafikishia huduma kwa kadri ya idadi yao Baada ya Mauaji ya kinyama...
1 Reactions
3 Replies
132 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo...
0 Reactions
2 Replies
218 Views
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI. Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T. Wakati...
6 Reactions
72 Replies
2K Views
GHATI CHOMETE ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MHE. LUKUVI, IRINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), tarehe 31 Machi 2026 alishiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa...
1 Reactions
2 Replies
194 Views
Hongera sana Samia, hongera sana TRA ya Kamishna Mwenda na hongera sana Walipakodi wote. My Take Hizi ndio takwimu ambazo zinawaudhi sana Chadomo na wale mataga kuona Mama amekuwa extra...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mamillioni kwa mamillioni ya watanzania wameonyesha kuguswa na kukoshwa sana na Hatua ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka...
0 Reactions
40 Replies
607 Views
Kuna ufisadi wa kutisha kwenye ujenzi wa barabara za mitaa Kariakoo lakini diwani wa kata hiyo Haji Manara yuko bize kutetea matajiri na kuhamasisha wamachinga wafukuzwe kila kona! Wanachokifanya...
4 Reactions
10 Replies
346 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La...
6 Reactions
70 Replies
2K Views
My Take Kila awamu iliyotangulia ilijenga msingi wa mafanikio ya awamu inayofuata.Ni Juu ya Kiongozi wa awamu husika kuchakata maono na akili zake kukusanya pesa zaidi Ili kuhudumia Wananchi. Pia...
7 Reactions
506 Replies
11K Views
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali...
3 Reactions
8 Replies
324 Views
Huyu ndiye kinara wa kuharibu matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 , hakuna aliyesahau , alipandikiza watu wake kwenye Tume ya Uchaguzi ili kuwabeba wagombea wa chama chake, aliamuru...
29 Reactions
65 Replies
10K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema uchumi wa Tanzania unaendelea kukua akibainisha kuwa kasi ya ukuaji wa kitaifa imepaa hadi kufikia 6.0% licha ya...
2 Reactions
5 Replies
215 Views
Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji...
1 Reactions
2 Replies
138 Views
https://www.youtube.com/live/y2tNlsDr__w?si=9IPAOA2qmJC0XXky
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu, Akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2026, Samia Suluhu Hassan ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kuanza utaratibu wa kuyaanika hadharani mashirika na...
4 Reactions
43 Replies
913 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…