Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAISHA: Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu. Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni dhahiri kuwa Uraisi sio kazi ndogo mara kadhaa Rais Samia amenukuliwa akiongea kwa upole na unyenyekevu(sijui kama unatoka moyoni) katika medani za kisiasa. Mara ya mwisho aliwaasa wateule...
16 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanabodi. Karibuni kufuatilia kipima joto live kutoka studio za ITV, leo Ijumaa tarehe 07 /11/ 2014 saa 0900, Ambao hamna access na ITV karibuni msibanduke JF. Mpaka kieleweke Mada.: katiba...
2 Reactions
84 Replies
12K Views
Tulifahamu tangu awali kwamba ccm ni ile ile , ila kuna tofauti kidogo kati ya viongozi wanaopewa Mamlaka na Chama hicho , kiongozi mwenye exposure hutofautiana kidogo uungwana na kiongozi wa...
16 Reactions
100 Replies
7K Views
Wanapenda mabadiliko. Hapa ni maalum kwa ajili ya kupata matokeo ya Bunge la Katiba. Nimebaini kuna wadau wetu wengi sana wanakosa pahala maalum kwa ajili ya kufuatilia kuhusu 2/3 na matokeo kwa...
0 Reactions
55 Replies
13K Views
Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu , Hii ni Kampeni ya Chadema Digital kwenye Kata ya Ipinda Jimbo la Kyela Naibu Katibu Mkuu wa Chadema kutoka Zanzibar Salum Mwalimu ameongoza usajili huo .
3 Reactions
4 Replies
826 Views
Jana yakitokea mengi sana ambayo Sasa yameanza rasmi kuonyesha uelekeo wa raisi wetu mama Samia. Kubwa zaidi ni kuanza kujua kuwa wasaidizi wake wanampamba kwa maneno ya uongo. Mkuu wa mkoa Amos...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Niongezee kidogo..... Swala la gazeti la Uhuru kusema Samia hatagombea nazani ndio hisia na takwa halisi la mfumo ulioachwa... Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au...
20 Reactions
111 Replies
11K Views
Suala la Corona. Mbona hatusikii Takwimu? Waliosema kuchanjwa iwe lazima kwa wote wapo wapi? Suala la kuvaa barakoa? Hata wapinzani hatuvai. Kipindi kile wakati yupo tulikuwa tumavaa ku prove...
18 Reactions
41 Replies
3K Views
Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Kuna mambo makuu matatu ambayo CCM wakiyapuuza hakika watatawanyika kama ndege wa angani uwarushiapo jiwe. 1. Kesi ya Sabaya na Makonda. katika kesi hizi wengi wanaona ni kesi za kawaida lakini...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Tuache ushabiki kwa katiba tuliyo nayo tukiwa na Raisi kama Membe ninaye mfahamu mtu wa visasi asiyetaka kushauriwa wala kukosolewa tutakuwa na Raisi dikteta kamili. Tanzania inahitaji Raisi...
9 Reactions
152 Replies
13K Views
Kwanza nimshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kuilinda nchi yetu Naomba ieleweke hivi kila serikali iliyoko madarakani imechaguliwa na wananchi baada ya kuinadi ilani ya chama husika...
1 Reactions
3 Replies
895 Views
Elimu ya kumkomboa masikini ni Serikali kuwekeza kwenye elimu ya ufundi kuanzia Msingi hii itafanyaTanzania yenye Nguvu ki Uchumi katika Elimu inayogusa jamii ya watu wenye kipato cha chini ambao...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
Gazeti la mwananchi limekuja na report inayofafanua vizuri jinsi mawaziri wenye tamaa wanavyoweza kumvuruga rais aliyepo madarakani kwa kujijenga wao binafsi badala ya kumsaidia rais kutumikia...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakati unakuja kuomba kura kwa awamu ya pili ya uongozi wenu 22/09/2020, nakumbuka ahadi nyingi ulizotuahidi, najua kipindi hicho 2020 ulikuwa Makamu wa Rais mtarajiwa, najua ulitoa ahadi kutoka...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kigwangala kwa uchafu wote aliopata kufanya alipo kuwa Waziri hivi anatoa wapi nguvu ya kunyanyua kinywa na kutuhumu ufisadi wa wengine? Kigwangala ni baadhi ya wachache wasio gerezani kwa...
11 Reactions
15 Replies
971 Views
Ikumbukwe kwamba Rais alitoa kiasi cha tsh trion 1.3 kwa ajiri ya ujenzi wa madarasa nchi nzima, katika hali isiyo yakawaida mkurugenzi mtendaji wa manispaa ya shinyanga amefanya yafuatayo÷ 1...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…