Sielewi anapambana na nani, kwanini na kwa sapoti ya nani? Na vipi anaweza kutumia vyombo vya habari vya CCM kujenga falsafa binafsi za siasa.
Kama ni mpinga utawala uliopo anangoja Nini...
Wadau kuna kundi linadai ufisadi na rushwa vimeongezeka kipindi hiki cha utawala wa rais samia mpaka rais akasema ufisadi na rushwa vilikuwepo awamu zilizopita.
Je, kuendelea kuwalipa mishahara...
Kujifunza ni jambo la kheri kwa waungwana.
Kwa hakika hawakukosea waliotambua elimu haina mwisho.
Kwa umoja wao bila kujali itikadi zao kisiasa, walikuwa na neno la faraja kwa ajili yao.
Ama...
Nilipowaona Halima James Mdee na mwenzake Esther Bulaya wamejisalimisha kwa Yesu ili awe Bwana na mwokozi wa maisha yao nikajua yawezekana Godfather wao ana msukosuko fulani.
Maana kama Polepole...
Hatimaye masaa takriban 7 hivi yaliyopita waziri wa mambo ya nje wa Tanzania ndugu Mahiga amezindua ubalozi mpya wa Tanzania nchini Israel.
Ubalozi huo upo mji wa Tel Aviv hii ikiashiria Sera mpya...
Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye.
Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze...
Hakuna ubishi kuwa CCM hii ya John Pombe Magufuli imerejea misingi ya kuundwa kwake.
Ni CCM ile ya wanyonge waliokandamizwa kwa muda mrefu na waliotaka mabadiliko ya kweli.
Ni CCM inayokataa...
Haya ni maneno ya the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akihofia kuliongelea Azimio hili muhimu na lenye kila misingi na miongozo muhimu ya jinsi gani Tanzania huru ienende.
Kwa upuuzi wa...
CCM ilikuwa imefikishwa pabaya kiasi cha mtu aliyekuwa anavaa shati au kitenge cha kijani alirushiwa mawe. Leo hii tunaona maelfu ya wananchi wakiona fahari kubwa kuvaa jezi za kijani na...
Unapoongelea fikra za ukombozi barani Afrika basi ni wazi hutaacha kukitaja chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Chuo hiki ni kikongwe na ni chimbuko la wasomi wanamapinduzi ambao mara zote...
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na...
Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya...
Friends and Enemies,
Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen..
Katika maisha epuka sana...
Kumekuwepo na mjadala mkali juu ya kutaka kujua watanzania tuko awamu ya sita au bado tuko awamu ya tano?
Mtanzania mwenzetu Ndugu Polepole ametanabaisha kwamba tuko awmu ya tano(5) bado...
Huyu,ni ushauri wa bure kwa mama sophia simba,sitaki anilipe hata shilingi Moja,mama yetu sophia simba andika barua kwa msajili wa vyama vya siasa akusaidie urudi kwenye nafasi yako uwwt kama...
Kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato, kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupoteza TZS 265.85 bilioni kutokana na vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu...
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.
Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania...