Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi ni katika watu waliosikitishwa sana na kesi ya ugadi aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Hii inaonesha suala la haki za raia lina mushkili sana. Fikiria kama inaweza...
2 Reactions
2 Replies
622 Views
Haiwezekani mkutano mkubwa kama huu uliohusisha wadau mbalimbali uwe na ajenda moja tu ya Freeman Mbowe Anayejua yaliyojiri au yatokanayo atujuze Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Waziri wa Uwekezaji Mh Mwambe amesema kinachojengwa Bagamoyo siyo Bandari tu bali unajengwa mji wa kisasa utakaoungana na Dar es salaam ambao utakuwa na miradi mingi ikiwemo Viwanda Mahotel...
9 Reactions
142 Replies
10K Views
Tunamba basi MBOWE na SAMIA wasameheane, hakuna haja ya kupoteza mda na laslimali FEDHA kwa visa visivyo na TIJA na kuumizana pasipo sababu, na wakisameheana wakutanishwe hata ktk SIRI mbele ya...
1 Reactions
13 Replies
753 Views
Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
12 Reactions
61 Replies
5K Views
Ilikuwa jambo rahisi sana kumkamta mh Mbowe kwakuwa jeshi la polisi ni mali ya ccm bila shaka. Ikawa rahisi pia kuchagua kesi ya kuanzisha ambayo ni ya ugaidi na uhujumu uchumi. Tatizo...
4 Reactions
3 Replies
802 Views
Ili kuepuka mitandao na makundi maslahi ndani ya CCM kuvuruga ustawi wa chama na ili kutorudia makosa ya 2015 yaliyokipasua chama, ninashauri CCM imuue nyani bila kumuangalia usoni, ninamaanisha...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Naomba nieleweke hii sasa inachosha sana leo tulikuwa ofisini posta umeme umekatika sana aese! Tunaomba maintanance inapofanyika ufanyike pia utaratibu wa kutangaza maeneo yatakayoathiriwa...
2 Reactions
12 Replies
887 Views
By Baba Mwita kupitia twitter: Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo...
5 Reactions
5 Replies
917 Views
Wakati wa jaribio la mauwaji ya lisu, ulisafiri mpaka hospital kule kenya kwenda kumpa pole Tindu lisu Ulipofika huko hospital nairobi ulimkumbusha lisu kwamba ili mambo hayo yasiendelee kutokea...
0 Reactions
1 Replies
501 Views
Rais amesema (kama ni kweli) kuwa wapinzani wakifanya mikutano huvunja magari ya watu kwa mawe! Rais akisema basi ndivyo ilivyo, jambo la kujiuliza ni magari yote ni ya wanaccm tu au wanavunja na...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Naona kuna sarakasi zinataka kufanyika ili kuhalalisha kikao cha vinavyoitwa Vyama vya siasa vya upinzani , Msajili Mutungi na Rais Samia , kikao ambacho Chadema wamekataa kushiriki kwa SABABU...
33 Reactions
121 Replies
7K Views
"Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa...
27 Reactions
92 Replies
7K Views
Jana, chifu Hangaya katoa ya moyoni baada ya Mwami ZZK , kusimama kwa unyenyekevu na kuomba amsamehe m/kit CHADEMA , ndg. FAM. Katika majibu yake. Chifu Hangaya alitupa picha kuwa , FAM amefika...
0 Reactions
6 Replies
798 Views
Mapammbano dhidi ya COVID 19 yamekua magumu kueleweka kwa wananchi, kwasababu hatukuwekeza zaidi katika afya msingi, kuanzia kwenye jamii zetu. Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na...
2 Reactions
1 Replies
909 Views
Huu ndo unyonge wa mwafrika. Badala ya mambo muhimu ya elimu, Wairi Ummy anajigamba kununua magari ya maafisa elimu. hizo ni pesa za wa-TZ zinatumika kununulia magari ya anasa Japan. Mashuleni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Bunge letu linahitaji kuongezewa chachu ya aina fulani ili liweze kuichambua kikamilifu Miswada ya Serikali. Vile vile Bunge letu linahitaji Sauti ya Upinzani yenye kukubalika mbele ya jamii yetu...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo huku akijinasibu kuwa anataingia na kufunga goli dakika ya 90 bwana...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…