Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm. Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko...
20 Reactions
234 Replies
12K Views
2007-08-27 Na Simon Mhina Mwenyekiti wa TLP, Bw. Augustine Mrema, amesema wapinzani wameunda vikosi viwili, cha anga na nchi kavu kwa ajili ya kuishambulia CCM. Aidha, amesema ili kutekeleza...
0 Reactions
589 Replies
116K Views
Baada ya uchaguzi wa Kenya 2017, Kenya iligawanyika Sana, mnakumbuka hata kujiapisha kwa Laila odinga. Kenyatta kwa kuwa ni mtoto wa mjini akaja na project ya Handshake, yaani kupatana na...
11 Reactions
42 Replies
3K Views
Kuhusu kukosea kosea kwa maneno kunazidi kuongezeka kwa Mheshimiwa Rais wetu. Wkt akihojiwa na BBC aliongea kuwa wenzake Mbowe walishafungwa na ilikuwa inasubiriwa Mbowe tu arudi kutoka ughaibuni...
24 Reactions
68 Replies
6K Views
Habari Mhe Waziri , Mohammed Mchengerwa ,Kwanza ni kupongeze Kwa uteuzi wako ,kazi unaenda nayo vizuri ,kuna maeneo kidogo ningependa kushauri ,JF ni kioo cha jamii kitumie katika kujirekebisha...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Eti anajiuliza Mwanasisasa anawezaje kumaliza PhD kwani anatumikia siasa na wakati huo huo anabukua! hawa ndiyo wale MaProf waliokuwa wakizingatia sana kupoteza muda mwingi wa kusoma Enzi zao...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna ukweli umejificha inawezekana kabisa Mheshimiwa Mbowe ni gaidi tusubiri serikali ithibitishe au kumkuta na hatia, sio kutuambia alitaka kulipuwa vituo vya mafuta na sehemu zingine, bado hilo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Akina Polepole na akina Gwajima wanajiamini sana.. Wanajua CCM hawana Ubavu wa kuwavua Uanachama kwa sababu hatua hiyo itamexpose Ndugai na kumtaka awavue Ubunge.. Itakuwa ni fedheha kubwa sana...
17 Reactions
21 Replies
3K Views
"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila...
5 Reactions
138 Replies
8K Views
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema hadi sasa 2.2% ya watanzania wameshapata chanjo ya covid 19 na hakuna maambukizi mapya yaliyoripotiwa. Makubi amewataka wananchi wajitokeze kwa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita. Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha...
8 Reactions
64 Replies
5K Views
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu. Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu. ebu sikia hapaona jinsi...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Binafsi naonelea ni vizuri zaidi kurekebisha Katiba yetu kuliko kuiandika upya. Sababu zangu: 1- Katiba ni waraka wa kihistoria hivyo ni vyema baadhi yake kuachwa kama ilivyo itukumbushe...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto Ghafla umeme...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini. Polis wanawakamata...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Sio kila mtanzania ni CCM. Watanzania wasio na vyama bi wengi kuliko Wana CCM au wenye vyama vingine. Kutulazimisha wote kumpitisha mbunge ambae hatujampigia kura sababu Tu ya kumuondoa mpinzani...
40 Reactions
78 Replies
8K Views
Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama...
12 Reactions
77 Replies
5K Views
Wanaukumbi. Chadema kulikoni tena Mzee JK amekuwa siyo dhaifu amekuwa na busara wakati alipokuwa madarakani mlimbeza kuwa ni dhaifu na kumpa majina lukuki ya kejeli. Mpaka mlianzisha harakati za...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…