Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais.
Mimi naona haya...
Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for...
Wanaukumbi.
Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.
Hawakutakii mema. Wanataka...
Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.
Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko peke yake na ndio maana hata wasaidizi wake (wateule wake), hawatoki...
Baada ya beef za Ndugai kwa Rais Samia naibu spika amekuwa mkimwa sana akisubiri spika ajichimbie shimo mwenyewe. Sasa huu mwanja ni mzuri kwake. Ndugai hata Magufuli alikuwa hampendi
Ibada iko mubashara ITV.
Ni ibada ya kumuaga aliyekuwa askofu mkuu wa Kanisa la TAG awamu ya pili Prof Mwenesongole.
Watu ni wengi sana wakiwemo viongozi wakuu wa serikali, wabunge, mabalozi...
Je wajua kuwa wanasiasa wengi Wana hisa kwenye community redio zilizo nyingi? na ndio maana wakati wa kampeni nyingi utumika kwenye siasa? Mfano kasibante redio mkoani kagera imekaa kimbe embea...
Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano.
Ni wazi kuwa...
Mh sipika amekuwa na matamko mengi mengi hivi sasa,
Majuzu juzi alikumbushia habari za kuendelezwa kwa makao makuu ya nchi DODOMA, alishangazwa na kitendo cha serikali kuipa kisogo Dodoma katika...
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amesema mauaji ya mchungaji yaliyosababishwa na waislam wa buseresere mkoani Geita ni fedheha, akizungumza wakati wa kuwatambulisha wajumbe wapya wa CC JK alisema wale...
Sina Nia ya kudharau taaluma za watu wapo akina brother Pascal Mayalla umu nawaheshimu sana lakini taaluma zao zinanitia shaka
Shaka yangu ipo siku ambayo tulitangaziwa na Mama Samia kua JPM...
Spika wetu Job Ndugai amekuwa mtu wa kujijitea kila anapotoa hotuba zake kwa umma. Habari ilianzia pale aluposema alishawahi kufika Galilaya pale ambapo Yesu na mkewe walipita. Hapo ndipo upepo...
Mama Anamalizia miaka minne ya awamu ambayo kairithi kikatiba, bado awamu yake, awamu hii ya sasa yupo kwa niaba ya marehemu.
Mama anamalizia miaka 4 ya kipindi cha pili cha miaka 5 ya awamu ya...
Naam
Ilikuwa awamu ya tatu ambapo Hayati John Magufuli aliponshauri Rais wa wakati uo Hayati Benjamini Mkapa iwe inatengwa Billion 1 kila makusanyo ya mwezi ili iweze kutumika katika ujenzi wa...
Sahivi bado najiuliza maswali lakini sipati jibu, uchaguzi wa 2015 Jaji Lubuva alisema tume ni huru na haiingiliwi na mtu .
Mwaka Jana Kina Mahela na Jaji Kaijage waliuaminisha umma kuwa uchaguzi...
UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO
Na Unoko ni Uzalendo
Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya...
Kuna wengi wamepitia machungu ya Spika Ndugai wakiwemo akina alhaj Prof Assad, Dr Paul Makonda, Wakili msomi Tundu Lisu, Mwandishi nguli na mwanasheria Pascal Mayalla, nk....nk
Ndio maana Spika...
Wanajukwaa nawasalimia Kwa jina la Jamhuri.
Wanandugu kunajambo naomba niwashirikishe tujadiliane.
Kama hakuna nyongeza ya mishahara,hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale...
Leo nimepata kukusanya japo kidogo na kuunganisha kwa nini kuna makundi au vikundi baadae huja kuwa tishio au kuondoa tawala kabisa.
Suala la kuibuka kwa makundi au vikundi kuna mawili ambayo...