Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ushahidi uliojitokeza ulionyesha kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kama fursa ya kuwachochea kushiriki katika ghasia. Vichocheo mahsusi vilichunguzwa na...
1 Reactions
6 Replies
146 Views
Tumekuwa tunasikia CCM inamiliki mashamba, viwanja, kumbi na miradi mingine lukuki ambayo chama kinaitumia kuendeshea shughuli zake na hivyo kuondoa uwezekano wowote wa kutumia mali za serikali...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani...
1 Reactions
43 Replies
1K Views
Haya ni Mapungufu ya Ofisi ya Katibu Mkuu, na hasa aliyekuwa Naibu Benson Kigaila Kosa hili lisirudiwe tena, inafahamika wazi kwamba Odera alishaugua kichaa na kufungwa kamba miguu na mikono Mara...
2 Reactions
13 Replies
259 Views
Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na...
7 Reactions
43 Replies
837 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD na aliyekuwa Mgombea Urais wa kupitia chama hicho Doyo Hassan Doyo, amesema hayo Aprili 23 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Angalizo: Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote. Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
51 Reactions
141 Replies
7K Views
Wanaume: 490 Wanawake: 28 Askari: 16 Watoto: 21 Kati yao, Miaka 15-17 walikuwa 15. Miaka 7-10 walikuwa 4. Chini ya miaka 5 walikuwa 2. Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali...
33 Reactions
207 Replies
4K Views
Watu wamechukia sana kila kona na hata kila kitongoji cha taifa hili. Watu walishuhudia kwa macho yao kuwa maandamnao yalikuwa ni kwa ajli ya kupinga ufisadi, utekaji na nepotism. Leo inatoka...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Kwa mnaojua Protocol, naomba kujua baada ya ripoti ya Tume kutolewa nini kinafuata? ICC wanaanza uchunguzi wao lini? Nisaidieni kujua wakuu angalau mnitoe tongotongo!
5 Reactions
13 Replies
344 Views
NOTE Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo...
4 Reactions
35 Replies
418 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesisitiza kuwa chama hicho kiko tayari kuingia kwenye mchakato wa maridhiano kwa lengo la "kuiponya nchi" na si kuridhiana na...
0 Reactions
7 Replies
324 Views
Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni...
18 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, Paskali ni Mzee wa Masauti humu jf, nikisikia sauti, nasema nilichosikia. Leo nilikuwa nasoma bandiko hili humu, Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili...
50 Reactions
123 Replies
8K Views
Ukifanya utafiti mdogo utagungua kuwa kumbe Chadema kimejaa watu ambao wamekataliwa na jamii mfano, wezi, ma single mothers, waliokimbia shule, matapeli, nk. Watu wakiona mfuasi wa Chadema...
2 Reactions
22 Replies
353 Views
Hivi karibuni kume kuwa na hitimisho wa uchunguzi ya yaliotokea MO29, na Kwa tamko kwamba walio anda au kuratibu, matokeo ya siku hiyo walikuwa wamepata mafunzo no. Je Polisi wetu na usalama...
1 Reactions
2 Replies
108 Views
Jana baada hafla ya kupokea ripoti ya Tume ya Jaji Chande redio Wapo ilikuwa na kipindi cha maoni ya wasikilizaji, msikilizaji mmoja alituma maoni yake ya kutokubaliana na baadhi ya hoja, cha...
3 Reactions
3 Replies
320 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…