Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa Medard Kalemani iliwezekana watu kuingiziwa Umeme kwa sh.27,000/- lakini kwa January Makamba haiwezekani. Wakati wa Medard Kalemani iliwezekana maji kujazwa kwenye Bwawa la Mwl Nyerere...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha...
6 Reactions
210 Replies
12K Views
Mjombake Mwendazake Dotto James katupwa nje. Sukuma gang in big trouble
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Katiba yetu inasema wazi kuwa Rais atakoma kuwa Rais mara anapofariki. Dakika ile anapofariki tu, Urais wake umeishia pale. Hafi, akiwa umeubakiza Urais nyuma kiasi cha kuweza kukasimisha kwa mtu...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Kiukweli CCM inajua namna ya kucheza na wapinzani wake. Baraza la mawaziri limeshushwa chap kwa haraka, Chadema wameshasahau habari za Spika mstaafu Ndugai sasa wanamjadili Spika mtarajiwa...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Nazani nimeeleweka maana Kawa kimya sana
1 Reactions
16 Replies
1K Views
habari za siku mingi waungwana wa jf. Ndugu zangu kuna habari nimeikuta kwenye gazeti la nipashe jana. mwandishi anahoji kwanini mgombea urais kwa tiketi ya ccm kwanini anajinadi yeye kama yeye...
0 Reactions
7 Replies
968 Views
Tulishaambiwa ccm inawenyewe za chini kwa chini ni kuwa membe anaandaliwa kuwa mgombea mwenza huyu aliyeko atapumzishwa sababu hazijulikani Pia mangula lazima aondolewe kwenye chama kabla ya...
0 Reactions
9 Replies
798 Views
Refer to the heading above Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea. UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/- DAP ni 120,000/- Kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiangalia ktk teuzi Magufuli alikua anajitahidi sana na utaona alikua anateua mtu akitaka matokeo flani ktk kutimiza vision zake ktk kuliletea Taifa maendeleo. Kuna watu unaona kabisa alikua...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Mwita Waitara Huyu alinunuliwa kutoka chadema na akaliingiza taifa letu kwenye hasara kubwa. Alilopwa pesa na pia uchaguzi ukarudiwa. Tulikuwa na Serikali ya ajabu sana. 2. Kitila Mkumbo Huyu...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanajamii I must grab this rare opportunity to document a very attractive political scenario which was discussed for the past 7 years or so. It is a story of two key politicians who nearly...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Hivi kwenye suala la kuchagua mawaziri huwa wanaangalia vigezo vipihasa?? Kwa sababu hii list iliyotolewa sijaielewa bado kabisa yaani hakuna mtoto wa mkulima hata mmoja dah inakuwaje hii kitu...
1 Reactions
62 Replies
3K Views
Hapa hatutakubaliana,hii nchi ina zaidi ya watu milioni 60, haiwezekani watoto wa viongozi waliopita ndio wawe watawala kila siku, hii nchi si ya kifalme,hii nchi ni yetu sote Haiwezekani...
17 Reactions
73 Replies
5K Views
Ewe Mtanzania mwenzangu, nchi hii ni yetu tumepewa na Mungu aliyeziumba Mbingu na nchi. Tumepewa iwe urithi wetu. Ni jukumu na wajibu wetu kuiombea mema na kuikinga na mabaya dhidi ya maadui wote...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Ridhiwani Kikwete amekiri na kumpongeza Mh Rais Magufuli kuwa Jitihada za Serikali yake zimewezesha kuanzishwa kwa ujenzi wa viwanda saba. Kabla ya awamu ya Magufuli Chakunze haikuwa na mradi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani. Ndugai amehudumu kama naibu spika...
13 Reactions
76 Replies
6K Views
Pana haja ya kumpongeza Mama Samia kwa spana zake hadi tukae sawa. Hakuna namna, maana wajinga ni wengi mno! Eti nyoyo za watu zaonekana kuwa na maduku duku. Kwani tulitegemea dodo chini ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeona clip ya waziri Ummy akiongelea kuhusu kuboreshwa kwa utaratibu wa uchangiaji wa bima ya afya. Ameongelea juu ya kuboresha aina ya uchangiaji wa sasa ambao unamfanya bachelor achangie bima...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…