1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa!
2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa...
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa...
Naona pasipo woga hata wale wanajiita watumishi wa Mungu wameanzisha kusahau kazi yao na kupiga mapambio kama waumini wao na kusahau jukumu lao muhimu katika umoja wa kitaifa.
Ndugu Watanzania...
Kwanza sijaona jipya kwenye sura za wateuliwa ,walioteuliwa utumishi wao na makandokando yao yanajulikana,wengine tuhuma za dawa za kulevya zunawahusu na wengine kuhujumu mamlaka za uteuzi...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au...
Ninapenda kutumia jukwaa hili kumpongeza waziri wa michezo Nape Nauye.
Hizi pongezi ni mahususi kwa Nape kwa sababu ni moja ya viongozi walioweza kusimamia haki na ukweli kwa kulipa gharama kubwa...
Mgawanyiko mkali kati ya watu wa Lukuvi,Tulia,Mussa. Kila mtu anataka mtu wake awe spika wa bunge. Na kila kundi linaona mtu wake ndio anafaa kuwa spika.
Musukuma kubebwa na PhD yake ili kuukwaa...
Wapinzani walionunuliwa kwa gharama kubwa na Bashiru polepole na mwendazake thamani yao imekwisha KITILA MKUMBO WAITARA wamepigwa teke leo walichokula kinawatosha na walizoea kuishi kwa fitna...
Baada ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko mbalimbali kwenye baraza lake la Mawaziri watu wameibuka na maoni tofauti tofauti.
Katika mabadiliko hayo...
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mchungaji Peter Msigwa amesema mtu pekee anayestahili kuwa Spika wa bunge la JMT kwa sasa ni mh Andrew Chenge...
Kwanza hongera kwa kuteuliwa Naibu Waziri wa Nyumba.Hakika Rais Samia kasikia kilio changu cha kukupa Unaibu Waziri.
Piga kazi ingawa una maadui wengi wanaokuandama wewe na familia yako.Maadu hao...
Tunajua kuna watu washakuletea mezani kwako takwimu kwamba uchumi unayumba hivyo usiongeze mishahara ya watumishi, mama akikubali hilo huo utakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza lako, kumbuka una...
Haiwezekani wale viongozi ambao sisi wananchi tunaona ndio wachapakazi waondolewe kinyemela tu au kwa sbb za kimichongo afu wanateuliwa wanafamilia.
Hii nchi siyo mali ya rais au familia fulani...
Umofia kwenu.
Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara.
Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia...
Abuu Kauthar
Siku hizi kila jambo linalotokea ni hoja ya kudai katiba mpya. Ni hivyo hivyo imekuwa katika kashfa ya Job Ndugai ya kuipinga serikali na chama chake hadharani, jambo lililopelekea...
Mwaka 2021 unamalizika kwa kada ya utumishi wa umma kuwa na tabasamu bora la "Muongo". Hii ni kutokana na kero zilizofanyiwa kazi na Rais Samia tangu alipoingia madarakani mapema mwezi March...
Kuna kitu hakipo sawa baina ya Rais na Waziri wake Mkuu.
Kupitia hotuba yake ya tarehe 04January 2022 alionekana kutumia diplomasia kuelezea kutoridhishwa kwake na kinachoendelea Bungeni...
Wakuu wa ukumbi huu hemu tujielekeze hapa pia., Mkuu alitwambia wale wenye Stress za 2025 atawapa nafasi zaidi akimaanisha atawaweka pembeni ili wakajiandae zaidi., nataka kufahamu hakuna Mawaziri...