Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa. Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa. Job Ndugai ametojitokeza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nikiwaangalia na kuwasikiliza wanachadema mmoja mmoja kama Peter Msigwa, God bless Lema, Sugu Lissu, na vijana wengi wa chama hiki hakika ni wazuri katika kujenga hoja ukitafuta wanaccm waje...
1 Reactions
14 Replies
964 Views
Haya matamko wanayotoa hawa viongozi wa CCM kwa siku za karibuni hasa mara baada ya tarehe 17 march yamenifanya nikumbuke riwaya maarufu ya Usiku utakapokwisha ya kwake mwandishi Mbunda Msokile...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
JESHI LA WANANCHI LATAMBUA MCHANGO WA VIONGOZI WA KILIMANJARO •Meya Juma Raibu atunukiwa tuzo ya uongozi na huduma za kijamii Moshi,Kilimanjaro Mnamo tarehe 9.01.2022 Viongozi wa majeshi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyekuwa mbunge wa Kyela na baadae mkuu wa mkoa wa Mbeya mzee Mwakipesile amefariki dunia Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2021...
2 Reactions
67 Replies
10K Views
Mamia ya wakazi wa jimbo la Arumeru Magharibi wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha mapema jana wamejitokeza kumzika aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Elisa David Mollel aliyefariki kwa...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi...
93 Reactions
198 Replies
13K Views
Rais wentu mpendwa na kipenzi cha wanyonge Dr John Joseph Pombe Magufuli nakuomba fanya ziara ya kutembelea mwenyewe miradi ya barabara za mitaa, hospitali na mengineyo inayonfanyika jijini Dar es...
27 Reactions
61 Replies
12K Views
Samahani kwa kichwa ambacho kina ukakasi kama utakua umeudhika naomba unywe maji ukae pembeni na glasi ya maji baridi upunguze hasira Bara hili la watu weusi ni kama lina laana vile inshort watu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema sera nyingi ni za zamani sana, amewataka mawaziri waangalie sera na kuziboresha kama zinaonekana kuwa ni za zamani. Amesema hata sheria zikionekana kuwa ni za...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
23 Reactions
156 Replies
12K Views
Hakuna maneno mengine huu ndio ukweli japo mchungu ila makamanda waoga sana ushahidi anao Lissu! ===== Sisi tulipokuwa katika siasa za uke wenza ambazo @ChademaTz inaziona ndio mtaji hatukuwa...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha. Baraza jipya...
4 Reactions
8 Replies
976 Views
Enzi ya Dr. Kalemani tuliingiza umeme kwa Tshs.27,000/, sasa hivi enzi ya Makamba tunaingiza umeme kwa Tshs.300K je, serikali ya awamu ya sita kwa viwango hivi itamaliza kusambaza nishati hii...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama uhai na utu wa mwanadamu una thamani Tanzania, ni vema hawa watu wanne, Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita, wangekamatwa kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi wa kijanai kuhusiana na mazingira...
29 Reactions
67 Replies
6K Views
Rais Samia amewakemea mawaziri na manaibu Waziri kuajiri ndugu au marafiki zao katika taasisi za wizara wanazozisimamia kwa kuwa zinaua taasisi Aidha amewataka kuondoleana ‘muhali’ kwa maana ya...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Changamoto mitaani ni nyingi sana kuliko hata hizo ziara ambazo hatuoni matokeo yake zaidi ya upigaji tu. Viongozi wa leo hawapo kuongoza na Kusaidia upatikanaji wa maendeleo ya haraka ndani ya...
1 Reactions
4 Replies
623 Views
Habari za muda huu, Swali langu ni mahususi kwa nafasi ya uspika lakini pia linaweza kujibiwa kwa nafasi nyingine ambazo mchakato wake wa uteuzi wa wagombea unaanza kwa kuchukua fomu kwa vyama...
1 Reactions
3 Replies
765 Views
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha. Baraza jipya...
34 Reactions
262 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…