Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,215
- 3,587
Enzi ya Dr. Kalemani tuliingiza umeme kwa Tshs.27,000/, sasa hivi enzi ya Makamba tunaingiza umeme kwa Tshs.300K je, serikali ya awamu ya sita kwa viwango hivi itamaliza kusambaza nishati hii adhimu ya umeme kwa vijiji na vitongoji vyote by 2024?
Wakati wa bei ya Tshs. 27,000 JPM alikuwa anakusanya kodi kidogo sana ukilinganisha na makusanyo ya Samia ambaye enzi yake hii kuingiza umeme ni Tshs.300K, ghali kuliko ya JPM. Uchumi huu unakuwaje?
Wakati wa bei ya Tshs. 27,000 JPM alikuwa anakusanya kodi kidogo sana ukilinganisha na makusanyo ya Samia ambaye enzi yake hii kuingiza umeme ni Tshs.300K, ghali kuliko ya JPM. Uchumi huu unakuwaje?