Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

Kauli ya " kwa akina kasimu' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Sasa umetaja wote wawili mama na hayati wamemdharau Kasim ila conclusion yako nchi haifai kuongozwa na mwanamke, hayati nae alikuwa mwanamke??
 
Tangu mama alipoingia madarakani hakumtaka Majaliwa ila alitulia kwa kuheshimu cheo chake cha uwaziri mkuu

Kassim mwenyewe hakuamini kama angeendelea baada ya mizengwe aliyohusika nayo na wakina Bashiru baada ya kifo cha Jiwe! Nitashangaa sana kama ataendelea kwani hata Jiwe alikwisha muwashia taa nyekundu!
 
Back
Top Bottom