Rais akemea mawaziri kutoa ajira kwa kujuana

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,844
Rais Samia amewakemea mawaziri na manaibu Waziri kuajiri ndugu au marafiki zao katika taasisi za wizara wanazozisimamia kwa kuwa zinaua taasisi

Aidha amewataka kuondoleana ‘muhali’ kwa maana ya kutooneana haya kuambiana inapotokea mtu amekosea katika utendaji wake

Rais amesema muhali na ajira za kujuana zinaua taasisi na kuwataka mawaziri wazingatie hilo
 
Maneno matupu hayasaidii, hilo litaendelea tu maana hakuna namna ya kuwazuia wasifanye hivyo
 
Rais Samia amewakemea mawaziri na manaibu Waziri kuajiri ndugu au marafiki zao katika taasisi za wizara wanazozisimamia kwa kuwa zinaua taasisi

Aidha amewataka kuondoleana ‘muhali’ kwa maana ya kutooneana haya kuambiana inapotokea mtu amekosea katika utendaji wake

Rais amesema muhali na ajira za kujuana zinaua taasisi na kuwataka mawaziri wazingatie hilo
Asahau mfumo ni mbovu sn, kwanini watu wasianye interview online na system isahishe matokeo yaonekane?
 
angeanza yeye kwanza kuacha kuwapendelea wazanzibari wenzake kwenye teuzi na ajira serilkalini
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Tungeweka sheria kabisa, vigezo vya ajira vipo wazi kabisa tatizo lipo nani anamfanyia usaili mtu.
Tukiweza tutoe kabisa viapo ambavyo mtu akikiuka basi adhabu kali umuangukie
 
Rais Samia amewakemea mawaziri na manaibu Waziri kuajiri ndugu au marafiki zao katika taasisi za wizara wanazozisimamia kwa kuwa zinaua taasisi

Aidha amewataka kuondoleana ‘muhali’ kwa maana ya kutooneana haya kuambiana inapotokea mtu amekosea katika utendaji wake

Rais amesema muhali na ajira za kujuana zinaua taasisi na kuwataka mawaziri wazingatie hilo
Hivi Waziri ni muajiri au huwa wanapeleka vimemo?
 
Hii Kitchen Party inakula tu Tozo zetu...., Hakuna jipya
 
Rais Samia amewakemea mawaziri na manaibu Waziri kuajiri ndugu au marafiki zao katika taasisi za wizara wanazozisimamia kwa kuwa zinaua taasisi

Aidha amewataka kuondoleana ‘muhali’ kwa maana ya kutooneana haya kuambiana inapotokea mtu amekosea katika utendaji wake

Rais amesema muhali na ajira za kujuana zinaua taasisi na kuwataka mawaziri wazingatie hilo
Kumbe mawaziri ndio wanaoajiri???
 
Back
Top Bottom