Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara kadhaa nimesoma kuwa wakili walimuomba Jaji awasomee alichoandika. Hivi Mahakama haina stenographers ambao kazi yao ni kuweka kumbukumbu ya kinachoendelea? Kama hiyo inashindikana, kwa nini...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 14 Januari, 2022 amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Évariste Ndayishimiye uliowasilishwa kwake...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiuhalisia ni vyema kila kiongozi aliye madarakani akawekewa guidance ya namna ya kuendesha serikali na muongozo huo uwepo kwenye katiba, isiwe utashi au mapenzi yake binafsi, bali katiba iseme...
13 Reactions
64 Replies
3K Views
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Inashangaza sana kuwa mpaka watu wametunga neno la kihuni kuwa kulikuwa na genge la kisukuma lililounda serikali na kuhodhi madaraka "sukuma gang". Najua bado tupo msibani lakini tukiwa tupo...
11 Reactions
59 Replies
6K Views
Kazi Bunge nikuisimamia Serikali iliyopo madarakani itende Kwa maslahi ya Taifa. Kazi hii imegeuka siyo main objective tena bali lengo kuu la bunge lililopo chini ya uongozi wa sasa na ujao...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale...
35 Reactions
94 Replies
9K Views
Samia Suluhu Hassan (alizaliwa 27 Januari 1960) ni Rais wa 6 wa Tanzania na mwanachama wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi. Maisha ya awali Suluhu alizaliwa katika Usultani wa Zanzibar...
7 Reactions
102 Replies
13K Views
Tanzania tuna ajira chache Sana zilizobaki Mana serikali haijaajiri mda mrefu Sasa kinachonisikitisa na hawa waganda na wakenya wanafundisha mashule hapa tz na wamekuja kwa wingi Sana hawana hata...
1 Reactions
5 Replies
867 Views
HOJA NA HAJA ZA MHE DKT TULIA KUWA SPIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Ndani ya Chama Cha Mapinduzi mbio za kumpata Spika baada ya aliyekuwa Spika Mhe Jobu Ndugai kutangaza kujiuzulu wiki...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea hati za mabalozi wa nchi nne ikulu jijini Dodoma Mabalozi waliowasilisha hati zao ni balozi wa Saudi Arabia, Jamhuri ya Korea, Indonesia na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha...
6 Reactions
133 Replies
12K Views
Ndugai alihoji mikopo mkamlipua. Je, hamuoni ipo haja ya kumlipua Mama? Je, ipi ni dhambi kubwa kati ya kukosoa mikopo na kushauri viongozi wa serikali kula kidogo? Naomba kuwasilisha!
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango? Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi? Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya...
55 Reactions
908 Replies
102K Views
Habari nilizozipata mtangazaji wa Clouds FM kachukua fomu ya kugombania uspika baada ya spika wa bunge la Tanzania kujiuzulu.
10 Reactions
81 Replies
9K Views
Rais Samia, Pole na kazi ngumu ya kujenga taifa (ujasiriadola) katika mazingira mapya yenye changamoto lukuki. Kazi ya kujenga nchi inahusu kuuliza na kujibu maswali yapatayo kumi hivi, mojawapo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania imetoa siku saba kwa kiwanda cha kutengeneza saruji cha Dangote kilichopo Msijute, Mtwara kuwasilisha taarifa ya utendaji wake katika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) ili...
6 Reactions
38 Replies
7K Views
Hii kesi ina ya Ugaidi ya makomandoo wa jeshi na kiongozi wa upinzani inayoendelea ina maajabu yake mpaka sasa, mimi nitataja machache, mengine ongezeeni. 1. Ni darasa huru la kuwafundisha polisi...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Hatuwezi kujisifu kuwa hii ni demokrasia bali ni fujo na ukosefu wa mwelekeo na sera za Taifa. Hadi sasa kama Taifa hatujui kama tunafuata ujamaa au ubepari. Viongozi huandaliwa, hufunzwa na...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…