Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba...
MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI
Mh.Rais Samia Suluhu Hassan:
Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM...
Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.
Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha...
Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo!
Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika...
Ni suala la kuwapongeza wabunge wa vyama vya upinzani kutoka Chadema (20), ACT wazalendo (4) na CUF ( 1) ambao kwa kauli moja wamempitisha Dkt. Tulia kuwa Spika wa bunge la JMT.
Wabunge hawa...
Moja ya sehemu ambazo Rais wa Jamhuri na Rais wa Zanzibari wamefanikiwa ni idara za habari hakika wamefanikiwa kuweka mijabari ya habari..
Wamefanikiwa kuweka watu sahihi na makini Sanaa na...
MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS SAMIA UGANDA, MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI.. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 1 Februari 2022 amemuwakilisha Rais...
Mimi nimetokea tu kumwamini Tundu Lisu japo nyakati zingine huwa " anachomekea" lakini kiukweli TAL hapa duniani yawezekana anamuogopa Mungu tu.
Akiwa Dodoma Lisu alilalamika kufuatiliwa na watu...
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku...
Katika madahalo wa Twitter Spaces wa Maria Sarungi, Tundu Lissu ameongea mambo mengi juu ya duru za siasa ya Tanzania na mistakabali wa chaguzi ya 2020 na nini kifanyike kabla ya 2025.
Likaja...
Wanabodi,
Walio wengi wameridhika na uongozi wa Rais Samia katika muda mfupi ambao amekuwepo madarakani. Ila kitu ambacho ni kawaida kwa kiongozi yoyote ni minong'ono ya hapa na pale kutoka kwa...
Ukipita barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam baada ya mataa ya barabara inayoelekea Masaki pembeni ya bahari ya Hindi utakuta kuna kadaraja fulani hivi kanaunganisha kona moja na...
Orodha yao ya kimkakati hii hapa
====
KATIBU wa Bunge na msimamizi wa uchaguzi wa Spika Nenelwa Mwihambi (NDC) ametangaza kukamilika zoezi la uteuzi na utaratibu wa uchaguzi wa Spika wa...
Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya...
Rais Samia kujenga madarasa mapya manne ( 4 ) katika kila ilipo shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Watoto wote 1M wa kidato cha kwanza nchi nzima kuanza shule Siku moja ambayo ni tarehe...
Mgombea Uspika, Kunje Ngombari Mwiru akijinadi kuwania nafasi ya uspika wa Bunge, amesema vikao vya Bunge vinatakiwa kuwa vichache ili watumie muda mwingi zaidi kuhudumia wananchi lakini ataongeza...
Former British Prime Minister Tony Blair has made two official visits to Tanzania since Samia Suluhu Hassan assumed the presidency in March this year after the sudden death of her predecessor...
Waziri Simbachawene ametoa onyo kali kwa Askari Magereza wanaowapiga Wafungwa na Mahubusu magerezani na pia kwa Polisi wenye tabia yakuwapiga Watuhumiwa au kuwalazimisha kwa kipigo kukubali makosa...
Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia...