Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anahudhuria kikao kazi cha wakuu wa mikoa wote jijini Dodoma leo. Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia Makamu...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT na Kazi inaendelea.. Ni hivi,awamu ya 5 mahusiano ya Tanzania na Juiya ya Kimataifa yalitetereka Sana hadi kupelekea washirika wa Maendeleo kujitoa na kususa mfano ni...
2 Reactions
50 Replies
44K Views
Ghafla nimeanza kuona umuhimu wa Katiba mpya. Kamati ya bunge inashindwa kuelewa tofauti ya basic salary na total salary? Jerry alisema mshahara wa mbunge haukatwi kodi, je posho ya mafuta...
14 Reactions
84 Replies
8K Views
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata...
20 Reactions
138 Replies
14K Views
Kabla ya kuwapa watu ID ni lazima kuwe na utaratibu wa kuwa na anwani. ID bila anwani ni kama picha tu. Hapa USA kwa mfano tuna anwani za nyumbani kwenye ID na kama hiyo haiwezekani basi waweke...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Alikuwa mgombea uenyekiti TAARIFA KWA UMMA Kesho Jumanne tarehe 08/02/2022 saa 9:00 am (tatu) za asubuhi nitaongea na Wananchi na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Air Port Sacoss uliopo...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema suala la anuani ya makazi zitakamilika kabla ya kuanza zoezi la uhesabu watu na makazi. Amesema hayo katika kilele cha...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Uganda na kampuni ya Total ya ufaransa zimefikia makubaliano ambayo yanaifanya kampuni hiyo ya mafuta na washirika wake kukaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kwenda nchi ya jirani ya...
15 Reactions
67 Replies
9K Views
Wale vijana wanaoongoza uhamasisha wa kudai Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , BAVICHA , tayari wameingia Mkoani Geita , na kutua kwa kishindo kwenye Kata ya Nyarugusu , Jimbo la Busanda ...
2 Reactions
4 Replies
788 Views
Mimi namuangalia Rais wangu Mpendwa SAMIA jinsi atakavyochafuka na kusahaulika kwa mazuri yote aliyoyafanya akiwa President kutokana na hawa polisi waroho wa mali wasizochuma wala kujua zimetokea...
15 Reactions
66 Replies
5K Views
Jeshi la taifa la Kongo FARDC limetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania ambao ni waasi wa ADF waliosajiriwa wilayani Beni mashariki mwa Kongo. Raia hao wa Tanzania, walikamatwa Jumapili hii...
6 Reactions
64 Replies
6K Views
Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CCM, Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa CCM kwa njia ya kisasa, katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara...
15 Reactions
55 Replies
4K Views
Tunaweza kusema kuwa kuna uwajibikaji wa kidemokrasia katika utoaji huduma pale ambapo wananchi au wawakilishi wao wanahoji au kutoa mrejesho kuhusu huduma za umma halafu watendaji wa kisiasa na...
1 Reactions
2 Replies
801 Views
Kulikuwa na kamjadala hapa ka deni la taifa na mikopo, tukapambana mpaka Ndugai akazira ugali! Of course Ndugai alishakuwa liability muda mrefu tu, hata kama angevunja tu glass ilitosha kumsimanga...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anashiriki katika kilele cha tamasha la Kizimkazi linalofanyika Zanzibar. Tukio hili liko mubashara TBC, ITV na Channel ten.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kuamka na kuacha kufanywa ngazi akisema, "Hawa watu wanakuja na maneno mazuri wanawafanya kuwa ngazi mnainama wanapanda. Wakifika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Tukio hilo muhimu litafanyika leo huko Kibaha mkoani Pwani ambapo Rais Magufuli atakuwa mgeni rasmi. Lengo la chuo hicho ni kuoka viongozi wajao wa taifa hili. Ni chuo cha diplomasia na itikadi...
4 Reactions
98 Replies
20K Views
Habari Wakuu, Leo 04/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri kesi ya...
30 Reactions
167 Replies
38K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…