Wakati CHADEMA DIGITAL ikivuna wanachama zaidi ya mil 12, CCM Kidigitali yaambulia mil 2 tu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,001
Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CCM, Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa CCM kwa njia ya kisasa, katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara, ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana!)

Hapa ndio ambapo unaweza kujiuliza, inakuwaje CCM yenye facilities zote inakwama kusajili wanachama wake kidigitali , Lakini CHADEMA yenye kesi kwenye Mahakama zote nchini Tanzania imeweza kusajili kidigitali wanachama zaidi zaidi ya milioni 12.7?

Tatizo la CCM liko wapi? Je, watu wameichoka kutokana na uduni wa maisha unaoongezeka kwa kasi , na kuifanya ccm kuwa chama cha viongozi pekee na watoto wao au kuna lingine?
 
Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa ccm kwa njia ya kisasa , katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara , Ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana !)

Hapa ndio ambapo unaweza kujiuliza , inakuwaje ccm yenye facilities zote inakwama kusajili wanachama wake kidigitali , Lakini CHADEMA yenye kesi kwenye Mahakama zote nchini Tanzania imeweza kusajili kidigitali wanachama zaidi zaidi ya milioni 12.7 ?

Tatizo la ccm liko wapi , Je watu wameichoka kutokana na uduni wa maisha unaoongezeka kwa kasi , na kuifanya ccm kuwa chama cha viongozi pekee na watoto wao au kuna lingine ?

View attachment 2108986
Acha uongo mzee....unajua maana ya wanachama milioni 12....?
Msingekubali kuibiwa uchaguzi kifala na mwendazake...
 
Hao Milioni 2 haimaanishi ndio wanachama wote wa CCM.
Nafahamu hilo , lakini ukumbuke kwamba ccm digital ndio ilianzisha utaratibu wa usajili wa kisasa , sasa ilikwama wapi , na kwanini kila mara utaratibu huu unazinduliwa upya ? leo Hangaya naye kazindua !
 
Nafahamu hilo , lakini ukumbuke kwamba ccm digital ndio ilianzisha utaratibu wa usajili wa kisasa , sasa ilikwama wapi , na kwaniji kila mara utaratibu huu unazinduliwa upya ? leo Hangaya naye kazindua !
Ndio kwanza wameanza zoezi halijaisha.
 
Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa ccm kwa njia ya kisasa , katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara , Ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana !)

Hapa ndio ambapo unaweza kujiuliza , inakuwaje ccm yenye facilities zote inakwama kusajili wanachama wake kidigitali , Lakini CHADEMA yenye kesi kwenye Mahakama zote nchini Tanzania imeweza kusajili kidigitali wanachama zaidi zaidi ya milioni 12.7 ?

Tatizo la ccm liko wapi , Je watu wameichoka kutokana na uduni wa maisha unaoongezeka kwa kasi , na kuifanya ccm kuwa chama cha viongozi pekee na watoto wao au kuna lingine ?

View attachment 2108986
Chadema digital imetisha sanaaaaa
 
Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa ccm kwa njia ya kisasa , katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara , Ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana!)

Hapa ndio ambapo unaweza kujiuliza , inakuwaje ccm yenye facilities zote inakwama kusajili wanachama wake kidigitali , Lakini CHADEMA yenye kesi kwenye Mahakama zote nchini Tanzania imeweza kusajili kidigitali wanachama zaidi zaidi ya milioni 12.7?

Tatizo la CCM liko wapi? Je, watu wameichoka kutokana na uduni wa maisha unaoongezeka kwa kasi , na kuifanya ccm kuwa chama cha viongozi pekee na watoto wao au kuna lingine?
Nchi imetetemeka na kutikisika.
 
Nafikiri Chadema walianza muda mrefu hili jambo na hawa wengine ndio wameanza sasa. Iweje tunalinganisha kwa hilo?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm Mh Chongolo alipokuwa anatoa takwimu za usajili wa wanachama wa ccm kwa njia ya kisasa , katika maadhimisho ya miaka 45 ya chama hicho huko Mkoani Mara , Ametumia pia muda huo kumkabidhi kadi ya kidigitali mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan (Kumbe naye alikuwa hana!)

Hapa ndio ambapo unaweza kujiuliza , inakuwaje ccm yenye facilities zote inakwama kusajili wanachama wake kidigitali , Lakini CHADEMA yenye kesi kwenye Mahakama zote nchini Tanzania imeweza kusajili kidigitali wanachama zaidi zaidi ya milioni 12.7?

Tatizo la CCM liko wapi? Je, watu wameichoka kutokana na uduni wa maisha unaoongezeka kwa kasi , na kuifanya ccm kuwa chama cha viongozi pekee na watoto wao au kuna lingine?
Haya ingizeni hao wanachama wenu Milioni 12 mtaani waaandamane mbowe atoke jela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

IMG_20220205_152144.jpg
 
Back
Top Bottom