Philipo Mwakibinga
Senior Member
- May 13, 2013
- 110
- 175
Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi sana.
Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1. Chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2. Chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana Jumamosi ndio tumewaona Suzan Lyimo, Kihwelu na Owenya ndio wameenda.
3. Chadema kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa Malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
ACT wamehimiza michango
CCM kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha sana!