Tundu Lissu atawashangaza wafuasi wake, hawataamini

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lissu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil!
 
LISSU AELEZA MAMBO SABA (7) ALIYOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA

1. Ajenda ilikuwa "hali ya siasa ya nchi yetu." mazungumzo yamechukua takribasi saa moja, na mojawapo ya mambo niliyozungumza nae ni juu ya mwenendo wa kesi ya Mbowe

2. Ajenda ya pili ni suala na la vyama vya upinzani kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa sheria.

3. Jambo la tatu ni suala la #KatibaMpya na nimemwambia Mh. Rais ana nafasi ya kuhakikisha tunapata #KatibaMpya na anatengeneza mfumo wa kidemokrasia.

4. Ajenda ya nne, ni inayonihusi mimi na wenzangu tuliolazimika kuikimbia nchi yetu sababu ya vitisho. Nimemwambia Rais kwa mamlaka yake, nina haki ya kupatiwa matibabu kwa mujibu wa sheria, na mazingira yanayohusu kuondolewa kwangu @TunduALissu bungeni na kutokulipwa mafao yangu.

5. Nimemwambia Mh. Rais kuwa mimi @TunduALissu ninahitaji kurudi nyumbani, na ninahitaji atoe kauli ya kunikaribisha nyumbani na nitakuwa salama, nimehakikishiwa nitapata hati ya kusafiria, kwa kuwa yangu iliibiwa Ujerumi. Nimewaongelea pia wenzangu @WenjeEzekiah na @godbless_lema

6. Nimemweleza mh. Rais sisi @ChademaTz hatuna wabunge Bungeni kwa kuwa wale wabunge tumewafukuza uanachama. Nimemwomba Mh. Alishughulikie hilo.

7. Ajenda ya mwisho nimemwomba Mh. Rais atuongoze katika kuliponya Taifa kutokana na majeraha tuliyonayo, kwa kutekeleza ahadi yake ya kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani.
 
Muda utasema, lkn kilichomfunga Mbowe pamoja na mengine ni Uwenyekiti wake na kwamba Mbowe pia alimlilia Magufuli hilo ni kosa lake pia kubwa, wakati wengine walishangilia!
 
Ni swala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lisu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil !
Mkuu una maana TL na FAM ni opportunists na wapo katika mgao wa 'national cake'?
 
Ni swala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lisu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil !
Risasi mwilini mkuu
 
Itakuja kuonekana mbele ya safari na muda si mrefu!
Binafsi wanasiasa siwezi kuwaamini kamwe.

Huenda unayoyasema ni ya kweli,Maana hii issue wewe sio wa kwanza kui reveal.

Anyways!! Acha muda uongee.
 
Ni swala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lisu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil !
Kashawa surprise Lumumba hamuamini kama hayawi hayawi sasa yamekuwa.
 
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
IMG-20220216-WA0656.jpg
 
Ni swala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi.

Jitayarisheni kisaikolojia, ni kama unaishi na Mtu unayemuamini maisha yote kama Mzazi au Mke halafu unakuja kugundua kwamba kumbe Mke wako siku zote amekuwa akikudanganya na yote ulioyaamini kumbe uongo na kwamba alikuwa anakutumia kama ngazi tu kwa self interest zake.

Tundu Lisu atawa shock, jiandaeni Mbowe kafungwa kwa mengi sana, kikulacho kinguoni mwenu, pure evil !
Bado unamuamin huyo!!!

cdm.jpeg
 
Back
Top Bottom