Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu waziri wa Ardhi na makazi mh Ridhiwani Kikwete ameitaka NHC kukamilishs ujenzi wa mradi wake wa Morocco Square. Serikali imeiongezea fedha NHC ili iweze kukamilisha mradi huo. Source...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar. Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka...
18 Reactions
308 Replies
17K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125...
20 Reactions
135 Replies
8K Views
Sasa ni zamu ya pemba.
3 Reactions
105 Replies
6K Views
Zile mamlaka zinazotathmini maaajabu ya dunia wanatakiwa kuchukua hili kama ni moja la ajabu duniani. Sio lazima liwe kati ya maajabu nane ila liwe tu hata ajabu la 98. Scenario 1 Mtu anaamini...
24 Reactions
56 Replies
4K Views
Kimsingi nauona mtandao wa William Ngeleja ukiwa makini sana kuelekea 2025 timu hii ni ya watu smart sana , imesheeni mamastermind wa siasa za fitna na Uharamia. Ni yeye Ngeleja 2025.
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni...
4 Reactions
86 Replies
6K Views
Kama ambavyo makamanda wa Chadema wanavyojinasibu kwamba Mbowe yuko jela kwa sababu alikuwa mstari wa mbele kuipigania Katiba mpya. Ndio nawauliza Chadema, Freeman Mbowe yuko tayari kujitoa...
5 Reactions
10 Replies
826 Views
President Samia’s trip to Europe Timely and Strategic By Seleman Yusuph Kitenge The Momentum from 76th UNGA Speech Since her reigning to the country’s highest office in March 2021, President...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Kwanini hii bajeti inajumuisha wizara zote za muungano na zisizo za muungano? 2. Bajeti inayoishia 2021/2022, trilioni 39 Zanzibar imechangia kiasi gani kwenye makusanyo? 3. Hii misaada na...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga. Kamati hiyo iliyoanza kazi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kitendo cha Zitto Zuberi Kabwe mwana Kigoma Muha,(wanafiki sana hawa watu waogope kama ukoma)kutokuwepo mahakani ni ishara tosha ya kuwa Zitto anaamini kuwa aliyemuita kaka yake mlezi...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu. Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Na Prisca Ulomi, WMTH Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha kutungwa kwa Sheria ya...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Vijana na makamanda wa CHADEMA, wapo ktk uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, wakimsubiri Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa akitoka ziarani nchini Marekani. Makamanda, Dr na rais wa...
14 Reactions
202 Replies
30K Views
"Sheria hii ya mwaka 2016 ambayo mimi niliisimamia nikiwa waziri, imelenga kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma, ukikosea tukuchukulie hatua wewe, na ndio maana tumesema tutoe leseni, najua kuna...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa? ============== Katika kile...
14 Reactions
177 Replies
11K Views
Na Maziku Jr Mapema leo hii wadau mbalimbali wa Sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wameshiriki mjadala ulioendeshwa na Taasisi ya Watch Tanzania kwa njia ya mtandao. Mjadala huo...
1 Reactions
2 Replies
635 Views
DKT. KIJAJI AIKUMBUSHA MENEJIMENTI YA WIZARA YAKE KUTEKELEZA WAJIBU Asema Tuko Hapa Kuwatumikia Wananchi Prisca Ulomi na Faraja Mpina, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za mahangaiko wasakatonge wenzangu. Naamini mnaendelea na mahangaiko ya kuitafuta shilingi kwa udi na uvumba. Narejea katika kichwa cha thread hii, ombi limetolewa kwa Rais kuwa MBOWE...
13 Reactions
58 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…