Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndio taarifa mpya iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kinondoni , ambako Hakimu Mkaazi Aron Lyamuya amempa Paulo Makonda , RC wa zamani wa Dar es Salaam siku 21 kuwasilisha HATI KINZANI...
15 Reactions
55 Replies
5K Views
Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Benki ya Dunia inashuhudia uchumi wa Tanzania ukipanuka hadi kufikia asilimia 5.5 mwaka huu Mshiriki akiwa amesimama karibu na nembo ya Benki ya Dunia katika Shirika la Fedha la Kimataifa -...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Dunia inaenda kasi sana, hivyo hivyo technolojia na ugunduzi wa mashine na vifaa mbalimbali. Kasi ya ukuaji wa science na silaha za maangamizi kama atomic bomb wakati uhai wake ulimfanya Albert...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanabodi, Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi...
9 Reactions
52 Replies
8K Views
Somebody said, AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime. FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka...
28 Reactions
409 Replies
28K Views
Leo Alhamisi Februari 24,2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano baada ya...
5 Reactions
72 Replies
7K Views
Tunapoanza Ibada ya Kwaresma tunapaswa kutambua ibada hii inalenga Toba. Tumesimama kizimbani kumfurahisha Mwanadamu tukamsau Mungu; tumetafsiri vibaya neno lake tukaacha kuwaeleza ukweli...
2 Reactions
11 Replies
896 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa faraja hatua ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwanusuru Watanzania walioko nchini Ukraine nchi ambayo iko vitani na Urusi. Taarifa ya Wizara...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakili wa mjibu maombi Paul Makonda, ameieleza Mahakama ya wilaya ya Kinondoni kuwa mteja wake bado hajapokea hati yoyote ya wito wa Mahakama dhidi yake, zaidi ya kuzipata taarifa hizo kupitia...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa! Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake. Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na...
28 Reactions
150 Replies
7K Views
Hebu wote tuangalie video hii halafu tutafakari, sitaki kuongeza maneno nisije nikaharibu. Mungu Ibariki Chadema.
17 Reactions
65 Replies
5K Views
Na Bwanku M Bwanku. Dubai pale Falme za Kiarabu (UAE) kwa sasa ni moja ya maeneo maarufu yanayotembelewa na watu wengi sana kila siku na kila mwaka. Kwasasa Dubai kunasifika ulimwenguni kote kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye...
35 Reactions
280 Replies
25K Views
Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje...
12 Reactions
182 Replies
17K Views
Upinzani wa Tanzania huwa una udhaifu mmoja mkubwa hasa baada ya uchaguzi mkuu. Kugeukana na kumpa credit CCM kipindi ambacho mshikamano unahitaji. Tuchukue mifano mitatu mikubwa. 1. Mwaka 2015...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametolea ufafanuzi kuhusu ziara za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mataifa mbalimbali ambazo zimeendelea kulifungua...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Sina wasi kabisa 2025 CCM inawekwa benchi. Sasa Chadema tunahitaji mambo haya yawe ya mwanzo. 1) Kushusha bei ya umeme kiasi ya kila nyumba kuweza kutumia air condition maana sasa joto...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Juzi nilipita hapa na andiko juu ya utendaji usioridhisha utendaji wa mazoea business as usually kwa ofisi ya Msemaji Mkuu wa serikali: kurugenzi idara ya habari Maelezo. Baada ya Rais...
2 Reactions
4 Replies
621 Views
Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…