Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta. Hapa Tanzania kuwekuwepo na...
37 Reactions
259 Replies
20K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amefanya ziara kujiridhisha uhalisia wa upatikanaji wa chakula kwa Wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari zilizopo Tarafa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli Ikiwezekana...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakati dunia ikianza kupata afueni kutokana na Covid, ghafla inaingia vita ya Russia VS Ukraine na mataifa makubwa ya magharibi yanaungana pamoja kuiwekea vikwazo Urusi. Tofauti na mataifa mengine...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kabla Freeman Mbowe hajatoka gerezani Katibu wa Bawacha kule Mwanza kupitia Star tv alitutaarifu kuwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atarejea nchini hivi karibuni. Kwamba akiwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Viti maalum vya wanawake ni utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na makundi yao katika bunge na mabaraza. Kuna nchi nyingi za dunia zilizochukua...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Hayati Magufuli kwa hakika alikuwa akili kubwa. Kuendelea kuifanya Dar es salaam kuwa makao makuu ya nchi ( serikali) halikuwa jambo jema, hivyo anastahili pongezi kuhamishia Dodoma. Kwa mfano...
3 Reactions
10 Replies
814 Views
Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama. Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
[emoji778] Mwekezaji akamilisha taratibu za upatikanaji Ardhi [emoji778] Waziri Ashatu Kijaji ashuhudia utiaji saini makubaliano ya Ardhi Mwandishi wetu, Kigamboni Rais Samia anaendelea...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
ELIMU ARDHI MGOGORO WA MAKONDA NA GHALIB. Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. 1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Uzalendo ni ule moyo wa kutumikia nchi yako kwa hali yoyote iwe nzuri au mbaya. Uzalendo hauangalii maslahi binafsi bali maslahi ya nchi nzima. Kwa hali ilivyo Ukraine nimeona watu wenye uzalendo...
1 Reactions
13 Replies
634 Views
Uko katika mtandao wa Facebook Kamanda wa Chadema Moshi mjini Dastan Rumisha amemvaa vikali Kamanda mwenzie Malisa GJ baada ya kupost andiko akimtukana Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe Kwa kile...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Spika wa bunge la JMT Mh Tulia Ackson alisema anasubiri maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA ili kujua hatma ya wabunge 19 wa chama hicho Habari kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa Ufipa...
19 Reactions
101 Replies
7K Views
Ukweli ni kwamba kuna matukio Rais wetu amekuwa akiingizwa mkenge ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya hasa na wasaidizi wake! Mh Rais alipoingia madarakani alichagua wasaidizi kutoka kada...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Ameongea vyema Askofu Bagonza: Hatuhitaji CCM mpya wala CHADEMA mpya, hatuhitaji kaulimbiu mpya. Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amekutana na mkuu wa mkoa wa Iringa mh Qeen Sendiga na kuzungumzia mambo mbalimbali yakiwemo amani na ushirikiano. Mbowe amesema kikao hicho ni sehemu ya...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Hii vita ninaifuatilia kila muda kuona kuna fursa gani Tanzania na wafanyabiashara waweza Tajirika sana kwa pesa za kigeni Hadi sasa nimegundua maeneo.makubwa yafuatayo 1.Mauzo ya Madini ya...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…