CHADEMA Hai yaanza kutapatapa, yamtumia Saashisha Mafuwe kama ngazi ya kukusanya wananchi kwenye ujio wa Mbowe

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
CHADEMA HAI, YAANZA KUTAPATAPA, WAMTUMIA MBUNGE SAASHISHA KAMA NGAZI YA KUKUSANYA WANANCHI KWENYE UJIO WA MBOWE

Hai, Kilimanjaro

Salaam wanajamvi

Andiko hili ni majibu ya andiko la upotoshaji lililoandikwa humu JF juzi.

Kasi ya uchapakazi kazi wa Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe imekuwa tishio la uhai wa chadema Jimboni humo hadi kufikia hatua ya kuunda timu ya propaganda kutoka makao makuu ili kukinusuru chama hicho kisifutike wilayani humo baada ya wananchi kutambua tofauti ya Mbunge wa wananchi na Mbunge mpiga porojo za kisiasa.

Hivi karibuni zimeibuka propaganda kutoka kwa wapambe wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe, wameanza Kwa kumchafua Saashisha Mafuwe kupitia mtandao wa Facebook tayari wameunda kundi la kumtukana na kupotosha kazi safi anazozifanya, tayari wameanza kumtumia Malisa Godlisten kumtukana na kumtolea maneno machafu Saashisha Mafuwe, Wameenda mbali zaidi wamehamia mtandao wa jamiiforums na kupotosha juu ya ajira za ukusanyaji anuani za makazi zinazoendelea nchini wakidai kazi hizo zimetolewa na Mbunge Saashisha hahaha inafurahisha sana kwani imeonesha ni jinsi gani timu hiyo ya propaganda imekosa watu timamu wenye uwezo wa kufanya propaganda zenye mashiko, yaani Saashisha Mafuwe ndio katoa hizi Ajira nchi nzima? Saashisha ndio Afisa uajiri wa Utumishi nchi nzima? Timu ya propaganda ya Chadema makao makuu inashindwa kung'amua mambo madogomadogo kama haya itakuwaje siku wakipata Madaraka?

Suala la ajira za anuani za makazi ni suala la serikali kuu na Kwa Wilaya ya Hai jambo hilo liko Chini Cha utendaji wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo na sio Mbunge, Iko wazi Mbunge Saashisha Mafuwe ahusiki hata kidogo kwenye utendaji wa Kila siku wa idara za halmashauri na maafisa wake, yeye kazi zake zinajulikana wazi na hata wao Chadema wanatambua ni Kwa kiasi gani Saashisha Kaibadili wilaya ya Hai Kwa kuleta maendeleo makubwa Kwa muda mfupi jambo ambalo hata Mbowe Kwa miaka 15 ya ubunge wake hajafikia hata nusu ya anachofanya Saashisha Mafuwe Kwa muda wa Miaka Miwili tu.

Utendaji kazi wa Saashisha Mafuwe umekuwa tishio na umewafungua wananchi upofu waliokuwa nao juu ya majukumu halisi ya Mbunge Kwa wapiga kura, Leo tunaandika hapa tukiwa tunashuhudia ujenzi wa lami katika Barabara ya Dorcas, Mradi mkubwa wa Maji utaohudumia kata 7 unaogharimu bilioni 3 tayari mkandarasi Yuko site, Ujenzi wa Nyumba za walimu, Ujenzi wa vyumba vya Madarasa, ujenzi wa hospital ya longoi kwajili ya wananchi wa tambarare ambao walitengwa na Mbowe katika miaka yake yote ya ubunge, Maji yamefika Lambo estate Kwa mara ya kwanza, Barabara zinazoendelea kujengwa Jimboni Hai, baadhi yake ni pamoja na Kalali-Nronga, Mkwarungo Foo Nronga na Mrefejini,Tacri, Lyamungo Makoa, Mrefejini Makoa kazi inaendelea tayari bonde la kwa mengi wameshavunja sasa hivi wapo msikiti wa Lyamungo hapo ilipo machine, sasa hivi kazi ya kujenga makalavati na madaraja inaendelea, muda si mrefu wataingia Narumu.

Kahawa yetu imetambuliwa kwa viwango vya juu, watu wamerudi mashambani kupanda tena kahawa kwa kasi zaidi baada ya Mbunge Saashisha kutafuta masoko na ni jambo jema tayari tumepata fedha za ukarabati wa skimu zetu na mifereji yetu, lengo la Mbunge na Serikali ni kuwa na maji ya hakika ya umwagiliaji, Tumeanza ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika kata ya mnadani.

Jumla ya Tshs 860,000,000.00 Fedha za UVIKO -19 zimepokelewa kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya Ujenzi wa vyumba vipya 43 vya madarasa katika Shule 17 za Sekondari.

Pia Jumla ta Tshs 160,000,000.00 Fedha za UVIKO -19 zimepokelewa kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya Ujenzi wa Bweni katika Shule ya Msingi Kibaoni kwa ajili ya watoto yenye Mahitaji Maalum na vyumba vipya 4 vya madarasa katika Shule ya Msingi Uduru.

Pia Jumla ya Tshs 650,000,000.00 zimepokelewa na Halmashauri yetu kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya Ujenzi wa vituo 2 vya Afya ambapo kituo 1 kinajengwa Katika Kijiji cha CHEKIMAJI na cha pili kinajengwa katika Kijiji cha Longoi vyote vipo katika Kata ya Masama Rundugai kwa mgawanyo kama ilivyo hapa chini.

Ukarabati wa matenki 3 umefanywa na Bodi ya Maji Machame katika vijiji vya Uduru (Tenki la Ikora), Wari (Tenki la Posta) na Kijiji cha Nshara (Tenki la Nnyama) na tenki la Uduru. Pia ukarabati wa jumla ya matenki 5 madogo ya kupunguzia nguvu maji (PRT) umefanyika kama ifuatavyo; - Kijiji cha Foo matenki 3, Kijiji cha Nkuusinde tenki 1 na Kijiji cha Wari tenki 1.
Ukarabati wa matenki ya kupunguzia msukumo wa maji (PRT) umekamilika ambapo jumla ya Tshs 7,303,000.00 zilitumika na wananchi wanaendelea kunufaika na mradi huu.

Ujenzi wa Barabara ya Bomang'ombe cheki maji TPC kwa Kiwango cha Lami,
,Ujenzi wa Soko la Kisasa la kwa Sadala,
,Kutekeleza ahadi zote alizoahidi hayati Dr JPM wakati wa kampeni pamoja na zile za kwenye Ilani,
Mradi wa maji wa kikafu mkandarasi yupo site na bilioni 3.39 zimetolewa, Umeme kila kijiji, kiwanda cha mashine tool leo kinafanya kazi, majengo yaliotelekezwa leo yanakarabatiwa, ushirika umeanza kuimarika, Kituo cha Afya Kisiki, Ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa afya Kijiji cha Kwatito
Zahanati ya chekimaji, Zahanati ya kware.

Hai hii haikuwahi kusemewa chochote bungeni na Mbunge wa zamani ndugu Mbowe Hadi alipoingia Saashisha kashatusemea wananchi mambo mengi ikiwamo mgogoro wa uwanja wa ndege wa KIA na wananchi wa kata ya Kia, Kazi ya kufuatilia Ahadi za Mhe Rais inaendelea kuhusu ujenzi wa Maboma ya Shule chakavu, uboreshaji wa Hospitali yetu ya Wilaya, mikopo kwa kwa Vijana,WakinaMama na Walemavu na mengine mengi sana.

Maendeleo haya Ndugu Mbowe hakuwahi kuyafanya zaidi ya kujinufaisha yeye Kwa kuanzisha mashamba makubwa ya familia yake, kujenga ghorofa lake kule Lambo estate na kuanzisha kampuni ya Bumako na Aishi hotel.
Mbowe huyu kakosa mvuto kabisa Jimboni hai Hadi imefikia hatua ametuma wapambe wanaofanya P.A ya ujio wake watangaze kuwa Mbunge wa Sasa Mhe Saashisha Mafuwe ndio anaewaalika wananchi kwenye ujio wa Mbowe, hahaha hakika Freeman wa Leo nae kama mwananchi wa Hai anafaidika na uwepo wa Saashisha Mafuwe kwani bila hivyo hawezi kupata hata watu 100 wa kumpokea kwenye ujio wake huo.

Mbowe anahitaji kuwaomba radhi wananchi wa Hai Kwa kuwacheleweshea toka awali kupata Mbunge sahihi anaeshinda Jimboni kuongea na wananchi na kuwapatia vitendea kazi walemavu na sio kuzurura kwenye majimbo ya watu kufanya ghasia na kutukana watu, watu wa Hai wameridhika na Mbunge wao Mafuwe sioni sababu za Mbowe kutaka kumchafua mtu ambae anadeal na maendeleo tu bila kufanya siasa za uhasama na fujo.
 
Welldone mtoa hoja, umeielezea vema tu na ndio maendeleo yanayotakiwa kwa wananchi, ila hukuona kuwa mada ingekua nzuri tu bila kushirikisha Jina la Mr.Mbowe?woga wote huo umetoka wapi kama mh.mbunge wa sasa ame achieve yote hayo?,wote sisi ni watanzania na Mr.Mbowe sio mkimbizi ndani ya nchi yetu, and why umeenda so low na kuongea kuhusu mali binafsi za Mr.Mbowe?na kumwonyesha mbele ya jamii kuwa ni mbinafsi na anayevutia fedha au mali upande wake, ni vema kama Hai wamefanikiwa yote hayo.
 
K-Vant+Ugoro+Bange+Petrol= ? Sijui hata jibu lake ni nini
 
Mbowe ni mwamba.

Dunia inamtambua.
 
Mie sijasoma huu upupu wa mtoa mada ni zaidi ya gazetii
Mtoa mada kwa hiyo ulitakaje kwani
Chama hiki kinawayambisha mnakosa usingizi
Mama amesema siasa mtaani ruksa sasa shida nini
 
Mbowe anahitaji kuwaomba radhi wananchi wa Hai Kwa kuwacheleweshea toka awali kupata Mbunge sahihi anaeshinda Jimboni kuongea na wananchi na kuwapatia vitendea kazi walemavu na sio kuzurura kwenye majimbo ya watu kufanya ghasia na kutukana watu, watu wa Hai wameridhika na Mbunge wao Mafuwe sioni sababu za Mbowe kutaka kumchafua mtu ambae anadeal na maendeleo tu bila kufanya siasa za uhasama na fuj
Acha bangi,nenda stendi ya mabasi hspo Bomang'ombe uwaulize,huyo mbunge hata hawamjui,alietwa na mwendazake.
 
Ulitaka wamtumie mama yako stupid
 
Umeandika uharo mtupu, hakafu hujachamba. Harufu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom