Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Umekuwa ni msiba mkubwa ambao ulilikumba Taifa hili lililobarikiwa utajiri wa kupigiwa mfano na unaotamaniwa na wapenda vinono duniani kote, Sasa yapata takriban miaka 58 imezikwa na hadi Leo...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Twende kwenye mada Bila kupoteza mda. Kumekuwa na taarifa kwamba Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la USAID inapanga kuwapa shirikisho la asasi za kiraia-Azaki pesa kiasi cha dola za...
5 Reactions
110 Replies
5K Views
Wasalaam, Nimekua nikijiuliza maswali mengi sana kuhusiana na mustakabali wa nchi hii na maendeleo yajayo ya watoto na wajukuu zetu. CCM imekua madarakani kwa miaka zaidi ya 60 sasa tangu tupate...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo. Kenya katika ukanda huu wa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
MAENDELEO YA VITU, MAENDELEO YA WATU,YOTE NI MAENDELEO YA BINADAMU. Leo 13:30hrs 11/10/2020 Ni suala la yai na kuku, bila ya vitu kwa maana ya Miundo mbinu kama Reli, barabara, Umeme,Viwanja vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asalam Alleykhum , baada ya Salamu ningependa wewe ndugu yangu katika Haki , Uwe wa Kwanza kufahamu kwamba yule Shehe anayesifika kwa kupigania haki bila uoga kwenye Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu...
15 Reactions
74 Replies
4K Views
Amani iwe juu yenu. Leo nimesikitishwa sana na hoja za wenyeviti vya uvccm wilaya za Kinondoni, Ubungo na kigamboni kwa hoja zao tatu zifuatazo: 1. Wanaccm hawa wanaipinga Katiba mpya kwa nguvu...
9 Reactions
14 Replies
997 Views
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam) Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kijana huyu mdogo pia ni Diwani Mstaafu wa Kata ya Ramadhani , alikamatwa kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2020 kwa amri ya Wakubwa , na kupewa kesi ya uongo ya mauaji , na kusukumizwa selo bila dhamana...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Naomba ni declare interest kuwa, mimi ni mmoja wa wataalam wanaouhusika na ishu iyo ya mchanga. Kifupi naomba nieleze kile ambacho kipo kwenye makontena. Kilichopo kwenye makontena kwa asilimia...
131 Reactions
738 Replies
106K Views
MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza. 𝗛𝗔𝗬𝗔 π—‘π—œ π—•π—”π—”π——π—›π—œ 𝗬𝗔 π— π—”π—‘π—˜π—‘π—’...
43 Reactions
112 Replies
12K Views
Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu. Anasema siku hiyo...
58 Reactions
151 Replies
11K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Magereza kuhakikisha askari wake waliopanda vyeo kuendelea kutekeleza majukumu yao na kuacha tabia ya kurundikana ofisini pasipokuwa na kazi. Amesema...
21 Reactions
85 Replies
8K Views
Kuna mjadala unaoendelea kuhusu nchi kukopa au kutokukopa. Kama mwananchi wa kawaida nani ningependa kutoa mtazamo wangu kwa faida ya wote. Kwanza ni muhumu ikafahamika kwamba HAKUNA nchi duniani...
1 Reactions
2 Replies
608 Views
Baadhi ya maneno ya kuangaliwa ni kupunguza madaraka ya rais juu ya teuzi hasa za mawaziri. Ili kujenga taifa la kiwajibikaji lazima mawaziri wawe na mkataba wa ajira na wakivurunda...
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Kufuatia Sheria Mpya ya Madini ya Mwaka 2009; moja ya mambo ambayo yalitakiwa kupatiwa ufumbuzi ni suala la uchenjuaji wa mchanga wa madini unaofanywa nje ya nchi! Kwavile hapo kabla serikali...
12 Reactions
150 Replies
19K Views
Hawa viongozi wa west wamekuwa wabinafsi sana kwa miaka mingi, wametunyonya sana kwenye ukoloni baadae wakaona hakuna namna ya kuweza kuendelea kututawala kwa maguvu wakatupa uhuru wa bendera huku...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MADIWANI MOSHI WASEMA HAKUNA CHANGAMOTO YOYOTE KWA MSTAHIKI MEYA WAO, BALI NI UCHU WA MADARAKA WA BAADHI YA WATU WASIOKUWA NA MAADILI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la wasaka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…