Ni karibia mwezi sasa tangu Urusi apewe vikwazo ambavyo vilitarajiwa kumuumiza ila kwa kuwa anajitosheleza amekuwa akiendelea kuweka hadidu zake na wanaposhindwa kuzifuata anaendelea kupiga.
Hali...
Kwa hatua za awali kabisa nimeanza kuona wasiwasi alionao ndugu msemaji wa Chama mpaka kufikia hatua ya kumtambulisha Chongolo kama dokta na madokta wa kweli kutambulishwa kama ndugu tu.
Kwa...
Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini.
Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa...
CCM Ina watu wanamiliki kadi za chama Kwa usalama wao, Mali zao na jamaa zao lakini hakuna wanachama. Sirini hata wale waliopo karibu na Mwenyekiti wa chama Wana maamuzi Yao binafsi ambayo ni...
Habari zenu ndugu zangu, Ama baada ya salam, leo ningependa kuwaletea list ya wenyeviti wa vyama wabovu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe, huku nikiambatanisha na makosa yao waliofanya kupitia...
Serikali imeshauriwa kuboresha na kuipanua barabara ya Dar es Salaam-Morogoro hadi Dodoma ili kupunguza uwezekano wa ajali kutokea kutokana na wingi wa magari yanayotumia njia hiyo kwa sasa...
Wengi wanamkumbuka kwa kuchukia washindani wake.
Ama iwe ndani ya Chama au wa nje ya Chama. Hapendi kabisa kushindana.
Huyu ana mbinu ya KiMasai ukimshinda ni bifu kubwa mno hivyo hata fimbo...
ELIMU ITOLEWE ZAIDI JUU YA MFUMKO WA BEI NA KATIZO LA UMEME.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kesho macho na masikio yatakuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM. Kabla ya mkutano huu mkubwa ninaomba nitoe...
Binafsi namshauri Samia kuunda gang yake kwa sasa ili aweze kupata uungwaji mkono katika harakati zake za kuutaka urasi 2025-2030 kama jinsi yeye alivyotamka hadharani,tumeshuhudia katika awamu...
Familia ya Emmanuel Ole Naiko inasikitika kutangaza kifo cha BABA YAO, BALOZI EMMANUEL OLE NAIKO kilichotokea leo 30/03/22, nyumbani kwake Bahari Beach, Dar es Salaam.
Habari ziwafikie wana...
Ni mwaka mmoja umepita sasa tangu Mwenyekiti wa CCM atwaliwe na Bwana! Ni kawaida Kwa Nchi yoyote Rais akifia madarakani hutokea mtikisiko!
Hapa kwetu pia kulitokea na Bado kunaenfelea...
MWENYEKITI WA CCM NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU KESHO.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Samia Suluhu Hassan ataongoza kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dr. Bashiru Ally akizungumza kwenye kipindi cha Mizani ya Wiki kinachorushwa na Azama TV, amesema katiba tuliyonayo ilijengwa kwa misingi ya chama kimoja, kwa...
Kwa weledi wake na uzoefu wake ameshapitia wizara zote nyeti na zenye majukumu makubwa kama vile Tamisemi, mambo ya ndani, katiba na sheria na sasa uratibu na Bunge.
Namuona kwa mbaali ndie...
Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi.
Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana...
Report ya CAG ya mwaka 2021/2022 imeonesha kuwa Shirika la TANESCO ni moja ya mashirika safi kabisa halina shida yoyote kabisa!
Pamoja na makelele ya watu kuhusu mwenendo wa TANESCO lakini CAG...
Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama...
Wakati B W Mkapa anataka kuunda Baraza la Mawaziri alimfuata Mwl Nyerere na kumuuomba ushauri wa kumsaidia kuunda Baraza la Mawaziri.
Mwl Nyerere alimkatalia Late Mkapa kuunda Baraza la...
Hivi suala hili la korosho twaweza kuwa labda hatujaelewa zaidi nia thabiti ya mheshimiwa Magufuli
Ndani ya ndege ya Emirates, Boeing 777-*** From Moscow to Thailand Bangkok via dubai nimeona...
Pamoja na kwamba hata kama utakuwa na vitambulisho vyoote husika lakin muhim kuwa na kiapo cha mahakamani kwa taarifa unazotoa wakati wa ufunguzi wa akaunt,
Wakati huo huo akaunt zote ambazo...