Ripoti CAG: Hesabu za TANESCO ni safi kabisa!

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,206
42,068
Report ya CAG ya mwaka 2021/2022 imeonesha kuwa Shirika la TANESCO ni moja ya mashirika safi kabisa halina shida yoyote kabisa!

Pamoja na makelele ya watu kuhusu mwenendo wa TANESCO lakini CAG report yake amesema ni shirika safi ....

CAG anaungana na Rais Samia ambaye anaona TANESCO ni shirika lenye tija sana na ufanisi!
 
Zile pesa za kuleta wale jamaa toka nje kwa ajili ya kufanya monitoring ya mambo yao $ 30 milioni next year nataka majibu ya CAG.

Na kuna mapesa mengine tena yalikuwa ya installation ya vitu huko Tanesco next year CAG ulete majibu.
 
20211031_154833.jpg
 
Ngoja na Msd nayo ifumuliwe ili iwe safi. Ana ana anado....maji ya kushushia fundo yasiwe mbali
 
Zile pesa za kuleta wale jamaa toka nje kwa ajili ya kufanya monitoring ya mambo yao $ 30 milioni next year nataka majibu ya CAG.

Na kuna mapesa mengine tena yalikuwa ya installation ya vitu huko Tanesco next year CAG ulete majibu.
Kwani unazani atakuwa huyu ??!!
 
Mnaopinga report ya CAG kwa tanesco
Wekeni ya kwenu sasa

Ova
Nimemsikia CAG akisema ukaguzi ule ni ukaguzi wa hesabu za serikali pamoja na kazi zilizotekelezwa na Serikali kwa mwaka unaoanzia tarehe 1 Julai 2020 hadi tarehe 30 Juni 2021. Kama ni hivyo, basi hii taarifa ina vipande viwili vya uongozi yaani JPM kuanzia tarehe 1 Julai 2020 hadi tarehe 17 Machi 2021 na SSH kuanzia tarehe 19 Machi 2021 hadi tarehe 30 Juni 2021 (hapa SSH atakuwa ametumikia kwa miezi 3 na siku kadhaa).
 
Report ya CAG ya mwaka 2021/2022 imeonesha kuwa Shirika la Tanesco ni moja ya mashirika safi kabisa halina shida yeyote kabisa!

Pamoja na makelele ya watu kuhusu mwenendo wa Tanesco lakini CAG report yake amesema ni shirika safi ....

CAG anaungana na Rais Samia ambaye anaona Tanesco ni shirika lenye tija sana na ufanisi!
kwa hiyo unataka kuongeza sauti na kusema kuna mtu ni uchwara
 
Urojo urojo tu kwa kwenda mbeleee. Sasa watupe Umeme kama Tanesco safiiii shida za matengezoo ya Mitambo haiingii kwenye report ya CAG siyooo? Alhamdullilah
 
Vipi CAG kaelezea na ile software ya kihindi waliyonunua kwa dola million kadhaa ilihali hata vijana wa DIT wanaweza kuitengeneza?!!!

Lazima mbwembwe ziwepo,kuwafumba watu mdomo wa katakata kuonyesha shirika halipo mikononi mwa vibaka baada ya uteuzi wa waziri mpya pamoja na wale wajanja walisuka bodi mpya ya Tanesco!!
 
Kama kuna taasisi ina CPA wengi basi ni Tanesco wanauweledi mkubwa sana. Haihusiani na hii mada, ni chagizo tuu.
 
Back
Top Bottom