Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri.
Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria...
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ushirikiano wake na Korea Kusini imeanzisha mkakati wa kuhakikisha inabadilisha mifumo yake upangaji, utumiaji...
Wana jamvi, habari za wakati huu..
Wakati joto la uchaguzi mdogo likizidi kupanda miongoni mwa wagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa Baraza la Vijana la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
Salaam Wakuu,
Natumaini kesho Polepole atasusia Kuapishwa. Sababu alisema ubunge ukiisha hagombei tena. Pia alisema ana misimamo yake haiyumbishwi wala hababaishwi na mtu yoyote.
Polepole ana...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Wazee nchini kwa kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa wa...
Mara nyingi sana nimeona hii hofu na imekua ikionyeshwa sasa hadharani.
Leo wote wanazungumzia 2025, na jinsi walivyojipanga na wanavyotakiwa kuendelea kujipanga.
Binafsi bado sioni sana kama...
Yatuhusu vipi ya hawa na barakoa zao?
Au ya huyu na wahuni wake?
Muhimu tutambue:
1. Wananchi walio wengi wanataka katiba mpya isipokuwa wenye maslahi binafsi na iliyopo.
2. Katiba Mpya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe leo amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC...
Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye...
Balozi wa Norway nchini Tanzania, Elisabeth Jacobsen ametembelea Ofisi za Jamii Forums jijini Dar.
Balozi Elisabeth amepata wasaa wa kuzungumza na Uongozi wa Jamii Forums, Mwakilishi ya Bodi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 01 Agosti, 2017 amepokea hati za utambulisho wa Mabalozi watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini...
Sasa imekuwa kama mchezo wa mazoea, yaani kabla ya 30th March CAG kwenda kumsomea Rais ripoti yake ya ukaguzi kisha kuikabidhi Bungeni na mchezo unaishia hapo.
Mwaka unaofuata hakuna taarifa ya...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM!
Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani
Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama...
#TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu...
Mabadiliko madogo ya mawaziri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, jana Machi 31, 2022 yamemuweka Waziri Pindi Chana kwenye wizara yenye “moto”.
Wizara hiyo yenye historia ya “kuwakaanga”...
Rais Samia amesema kuna tatizo kubwa la Usimamizi ndani ya serikali, Watu wanaendekeza undugu na urafiki badala ya kusimamiana.
Watu wanakimbilia vyeo tu lakini hawana uwezo wa kiuongozi zaidi ya...
Kwa mabadiliko na harakati zinazoendelea CCM tangia Magufuli atwaliwe na Mungu wa mbinguni utagundua kulikuwa hakuna sababu ya kumkata Lowassa mwaka ule wa 2015.
Na, inawezekana kabisa kuwa madai...
Chama Cha mapinduzi kilipasuka miakaa tisa iliyopita; ufisadi, undugu na umimi ndio uliopelekea kikose dira kwenye jamii. Leo kinachofanyika siyo kukijenga chama wala kuijenga Nchi bali chama...
Huku Tanzania tukipata Rais mpya basi CCM hufanya utaratibu wa Rais anayemaliza muda wake kujiuzulu na kumkabidhi uenyekiti Rais aliyeingia madarakani.
Lakini kwa makamu mwenyekiti kutoka...
Sijajua msajili wa vyama vya siasa aliipitisha vipi hii Katiba ya ACT wazalendo kwa sababu inabagua.
Pale juu kabisa pana cheo cha Kiongozi wa Chama. Ni nani huyu.
Ikumbukwe ACT wazalendo...