Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

Status
Not open for further replies.

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,474
Salaam Wakuu,

Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM!

Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani

Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu.

Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa kumrithi Chongolo ni kati ya ndugu Sixtus Mapunda na Glorious Luoga.

Nini kimemponza Chongolo? Anakwama wapi?

Imetoka hapa: Daniel Chongolo kutemwa Ukatibu Mkuu CCM! Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti - Imevuja!

Uongozi ni kupokezana kijiti, nani anafaa kuchukua nafasi ya Ukatibu Mkuu wa CCM?

Chongolo atarudishiwa Ukuu wa Wilaya au atarudi Kijijini kulima Matango?

Pia soma Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom