Balozi wa Norway nchini Tanzania aitembelea JamiiForums

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
Balozi wa Norway nchini Tanzania, Elisabeth Jacobsen ametembelea Ofisi za Jamii Forums jijini Dar.

Balozi Elisabeth amepata wasaa wa kuzungumza na Uongozi wa Jamii Forums, Mwakilishi ya Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Watendaji wa JF juu ya masuala anuai ikiwamo kujifunza jinsi taasisi inavyoendesha shughuli zake.

Balozi_wa_Norway_nchini_Tanzania_alipozitembelea_ofisi_za_JamiiForums_jijini_Dar_leo_Machi_31%...jpg

0399CF9A-22B0-45D2-A2AC-525C51F76F55.jpeg
0D05EC7A-C73A-4950-ACE9-55790E6BB58E.jpeg
F81F7BCD-E385-4A7D-84DE-4BE460DEDD8B.jpeg
 
Japo jiwe alikuwa anatuwinda kama digidigi
Hakuna Jamiiforums haijawahi shtakiwa na Serikali bali kampuni binafsi, mimi binafsi kuna vitu Magufuli nilivyokuwa sikubaliani navyo nilimpinga wazi humu bila kumeza maneno. Viko kibao kuanzia ukiritimba wa utoaji Passport kuwa lazima upeleke ushahidi wa safari uhamiaji wakati hilo ni swala la ubalozi unaotoa Visa sio uhamiaji kitengo cha Passport, kutoruhusu PayPal, kutoonggeza mishahara ya wafanyakazi wa umma nk
 
Hakuna Jamiiforums haijawahi shitakiwa na Serikali bali kampuni binafsi Mimi binafsi kuna vitu Magufuli nilivyokuwa sikubaliani navyo nilimpinga wazi humu bila kumeza maneno viko kibao kuanzia ukiritimba wa utoaji Passport kuwa lazima upeleke ushahidi wa safari uhamiaji wakati hilo ni swala la ubalozi unaotoa Visa sio uhamiaji kitengo cha Passport ,kutoruhusu PayPal ,kutoonggeza mishahara ya wafanyakazi wa umma nk
Unaikumbuka kesi ya Melo kutokana na uzi wa FUHRER ?
 
Japo jiwe alikuwa anatuwinda kama digidigi
Najua pangekuwa na njia ya kujua majina ya watu waliomo humu, karibu nusu yao wangepotezwa na kikosi maalum "Kikosi Kazi" chini ya Balozi.

Pamoja na kutotumia majina halisi, lakini kuna watu waliogopa hata kupita pale uwanja wa ndege kwa usalama wao!

Hiyo ndiyo nchi ya Tanzania.
 
“I fight surveillance by working to build secure platforms for open debate.”

by Maxence Melo Mubyazi

Maxence Melo​

Digital Rights Advocate and Executive Director, Jamii Forums -TANZANIA
Maxence Melo is a Tanzanian Online Human Rights Defender and Executive Director of Jamii Forums, an NGO that promotes and advocates for Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability and Good Governance. He is enthusiastic, creative and passionate about the promotion and protection of Online Freedom of Expression and Privacy.

He is also a digital innovator and an “Information Architect” who found JamiiForums.com, the most visited website in Tanzania. JamiiForums.com exists to inform rather than to censor, to unite rather than divide, to debate rather than ignore, and that will protect those who are courageous enough to expose the truth that the powerful would rather hide. Maxence believes that Whistleblowers play critical roles in any system.

As a certified Digital Security expert, he helps Human Rights Defenders in Tanzania to remain safe while using digital platforms. Professionally as a Civil Engineer, he worked for 8 years as a Building Economist with a Class I Construction Company in Tanzania. He supervised mega projects in Tanzania between 2002 and 2010.

Maxence has played an enormous role in making the Jamii Forums platform revolutionize online information, the state of Freedom of expression, promotion of transparency and accountability in Tanzania. He is also a member of the Forum for African Investigative Reporters.

He is an alumni of the International Visitor Leadership Program (IVLP) by the U.S. Department of State (2017).

At an international level, Maxence has been recognized by the African Union as one of the top 3 Leading African Innovators for Change in 2018 but also by H.E President Muhammadu Buhari of Nigeria for strengthening the viability of Whistle-blowing Policy tools in Africa.

He is a recipient of various Human Rights Defenders awards including the 2019 International Press Freedom Award by the Committee to Protect Journalists (CPJ), Online Freedom of Speech Champion in Tanzania 2018 by Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC) and the Daudi Mwangosi Award (2019) by the Union of Tanzania Press Clubs - an award for Promotion of Media Freedom in Tanzania.
 
Hongera sana balozi kutembelea jamiiforums forums the only real free platform in Africa where we dare to speak freely
Hongera Jf mmefanikiwa hata kuwabadilisha baadhi ya watu kutambua ambayo hawakuwahi kukubaliana nayo Kwa mahaba Kwa mrengo waliona maslahi nao.
 
Ndio ujue kuna watu wana akili Maxene Mello ni Civil Engineer lakini ubunifu kawashinda waandishi wa habari wenye madigrii yao ya habari walioko Tanzania wakiwemo wanaoitwa waandishi wa habari nguli kwa kuanzisha chombo cha habari Chenye impact kubwa hadi kutambuliwa kimataifa cha jamii forums
 
Ndio ujue kuna watu wana akili Maxene Mello ni Civil Engineer lakini ubunifu kawashinda waandishi wa habari wenye madigrii yao ya habari walioko Tanzania wakiwemo wanaoitwa waandishi wa habari nauli kwa kuanzisha chombo cha habari Chenye impact kubwa hadi kutambuliwa kimataifa cha jamii forums
 
Balozi wa Norway nchini Tanzania, Elisabeth Jacobsen ametembelea Ofisi za Jamii Forums jijini Dar.

Balozi Elisabeth amepata wasaa wa kuzungumza na Uongozi wa Jamii Forums, Mwakilishi ya Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Watendaji wa JF juu ya masuala anuai ikiwamo kujifunza jinsi taasisi inavyoendesha shughuli zake.

View attachment 2170969
View attachment 2171017View attachment 2171018View attachment 2171019
Mabalozi nao wamo humu humu wanafatilia hadi nyuzi zangu.

Proud to be a member.
 
Back
Top Bottom