Nashindwa kuelewa kwanini CCM " Walimkata" Lowassa 2015

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,878
141,811
Kwa mabadiliko na harakati zinazoendelea CCM tangia Magufuli atwaliwe na Mungu wa mbinguni utagundua kulikuwa hakuna sababu ya kumkata Lowassa mwaka ule wa 2015.

Na, inawezekana kabisa kuwa madai ya Chadema kwamba KURA za Lowassa Tanzania na maalimu Seif Zanzibar " zilitosha" yana kaukweli kwa mbali.

Ni dhahiri kabisa kwa sasa team Lowassa wanarejea kwa kasi na Team Mwendazake " ndio basi tena " labda wakabishe hodi Ufipa maana wengi walitokea huko hata Msukuma na Gwajima.

Jumaa kareem.

Leo ni Njia ya Msalaba!
 
1648787331346.png
 
Lowassa hajawahi kupitishwa na CCM kwny Uchaguzi wa Rais mara zote mbili

Kamati ya maadili ya kina Lukuvi ilipobanwa na kina Hamis Mgeja kwny NEC june, 10 2015 pale Mjini Dodoma walijibu kuwa sababu na vigezo vilivyosababishwa akakatwa 1995 walivipitia na kujiridhisha bado ni valid…

wakati huo wapambe wake walikuwa wameandaa majibu ya hoja ya Richmond walidhan ndio ingetajwa kisababishi…yaani waliandaa majibu wakaingia nayo kwny pepa wakakuta swali la majibu waliyobeba halipo
 
Back
Top Bottom