Polisi Wataja Sababu za Kupotea Watu

Polisi Wataja Sababu za Kupotea Watu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
524
Reaction score
498
Kwa mujibu wa Jeshi la polisi sababu za kupotea watu ni kwa sababu ya mapenzi, imani za kishirikina, waliotekwa na watu wakitaka pesa ama mali, wahalifu ambao wanalipiana kisasi na wengine kutoroka kwa sababu ya kudaiwa madeni na kukimbia kesi

#UkweliOktoba29
 
Tangu 29 Oktoba sijasikia matukio ya kutekwa kwa watu, imetokea nimi?

Vv
 
Back
Top Bottom