Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu imezoeleka katika dunia ya leo kila mtu kutumia uongo na unafiki kufanya siasa nchini kwake. Njia hii ya uongo na unafiki imekuwa njia nzuri na yenye mafanikio ya haraka kwa wanasiasa...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anazindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Rais...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mfumuko wa bei nchini ulifikia 4.2% mwaka jana mwezi wa 12 huku ukipanda kwa toka 4.1% mwaka jana mwezi wa kumi na moja. Kiwango hiki hakijawahi kufikiwa ndani ya miaka 5. ==== Tanzania...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Spika Ndugai ni mnafiki mkubwa wa kisiasa , alikuwepo bega kwa bega pembeni ya mwendazake akiwahutubia wananchi kwenye mikutano akiwaambia wananchi kwamba miradi yote hiii mikubwa inajengwa na...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Salam kwa Jamhuri Kama raia wa kawaida mwenye mamlaka kamili kulinda na kuisimamia nchi yangu sitasita kuusema ukweli ninaoushuhudia na kuuchakata kichwani mwangu kisha kushauri inapobidi...
18 Reactions
100 Replies
6K Views
GWAJIMA AMEATHIRIWA NA FILAMU ZA HOLLYWOOD "FICTION MOVIES" PAMOJA NA MAMBO DHAHANIA. Na, Robert Heriel. Gwajima anaonekana ni muumini mkubwa wa filamu za kimarekani "Hollywood", hasa zile...
14 Reactions
84 Replies
8K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali with a light touch, Kwa ajili ya kitu kinachoitwa, Political Capitalization: Kufuatia Lulu Kupendwa na Wengi Hivyo Wengi Kumhurumia Kufungwa Jela, Jee Tumuombee...
12 Reactions
151 Replies
22K Views
Kwa sasa chama cha ACT Wazalendo ndio kimeunda Baraza kivuli la mawaziri nje ya bunge baada ya lile la Chadema lililoongozwa na KUB Mbowe kumaliza muda wake. Lakini mawaziri wa Baraza hili la ACT...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Natoa angalizo, Bunge kuwa live sisi tunafatilia hata kama ni la chama kimoja. Najua Ili Bunge Kuna baadhi ya wabunge na baadhi ya mawaziri ni mizigo. Mfano, mbunge wa Sengerema amekuliza swali...
0 Reactions
3 Replies
667 Views
Pamoja kuwa wote ni wana CCM lakini wametofautiana pakubwa sana, Nape yuko na moyo wa kuwatumikia wananchi. Makamba kila anachoongea hakitoki moyoni (anaweza kuongea kitu mpaka ukashangaa hivi...
1 Reactions
19 Replies
935 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania haitajengwa na mtu mmoja au chama kimoja bali itajengwa na Watanzania wote. Rais Samia ameeleza hayo Jumanne Aprili 5, 2022 Jijini Dodoma wakati...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara kuacha kutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi...
7 Reactions
71 Replies
5K Views
Wanabodi, Naangalia msiba wa Kanumba live kupitia Clouds TV, nimenote viongozi wa CCM wakipewa maximum recognition. Tangu mwanzo MC akitangaza miongoni mwa wageni mashuhuri akawataja...
15 Reactions
124 Replies
12K Views
Kila kona manug'uniko ya Watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu...
18 Reactions
193 Replies
12K Views
Ni wazi kuwa kupata katiba mpya hakuwezi kuwa kwa lelemama. Ni wazi kuwa uwepo wa wahafidhina wenye maslahi na katiba iliyopo ndiyo kilicho kikwazo pekee. Ni wazi kuwa wenye uthubutu wa...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU. Sema amina Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo vita ya Urusi na Ukraine, Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa Tozo ya Sh 100 kwa kila lita katika...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…