CCM Ina-Capitalize msiba wa Kanumba for Political gain? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Ina-Capitalize msiba wa Kanumba for Political gain?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Apr 10, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,515
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Naangalia msiba wa Kanumba live kupitia Clouds TV, nimenote viongozi wa CCM wakipewa maximum recognition.

  Tangu mwanzo MC akitangaza miongoni mwa wageni mashuhuri akawataja mawaziri na wabunge akamalizia kwa Mukama na Nape, Mhe. Mbilinyi ambae yupo hapo has never been mentioned na siamini kuwa MC hajamuona Sugu mahali pale!.

  Baadae katika kukusanya maoni ya watu mbali mbali, Clouds radio na TV waka zero in Mkama na Nape tuu, yaani hawakuonekana wengine wowote wa kutoa maoni yao!.

  Nilikuwa najiuliza jinsi msiba huu ulivyofanywa wa kitaifa na serikali kutoa ushirikiano mkubwa hivi ikiwemo logistic support kuwezesha Kanumba kuzikwa maziko ya kitaifa nikijua ni kuuenzi mchango wa Kanumba tuu kumbe nia ni kuwashika wapenzi wa Kanumba!.

  Politics is very interesting game, japo wengine wanaita is a very dirty game, for me, politics is a game of exploration of opportunities!. For every event hata kama ni msiba, wao kwao they see an opportunity!.

  Pasco.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  it's too late.

  we are all :( but we know what is going on
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu pasco umeenda mbali sana,
  ni desturi ya watz kuhudhuria misiba na haina uhusiano wa kisiasa kabisa, sidhani kama ni sahihi kila jambo kuliingizia na siasa, hatutafika! kuna masuala ya kijamii na mengine ya kitaalamu!
  Acheni hizo
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Je unajua uhusiano wa KOMBA na LULU?
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh , kwani hawa wengine wamekatazwa kwenda huko?
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Je ungelalamika angekuwa Lowasa ameonyeshwa?
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Luke 9:60
   
 8. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  sehemu ambazo viongozi wa ccm hupenda kufika sana ni msibani kwani hakuna stress zaidi ya kutoa hela ya rambirambi, lakini kwenye kuangalia majeruhi kama wale wa songea wa risasi huwawezi kuwaona kabisa. Wanadahani kwa kufanya hivyo wataongeza wanachama wamesahau kuwa kanumba alikuwa chadema so wapenzi wake watajiunga na chama kubwa ili kumuenzi kanimba
   
 9. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hao mawaziri/ wabunge waende zao bungeni kujadiliana kuhusu madudu yao wanayoyafanya haraka sana, we are not paying them to be there!
   
 10. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Kweli kaka, wamemtaja nape na makada wengine cha ajabu hata sugu hawajamtaja
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  I thought the presenter had to rejoice on that!
   
 12. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Ebwanaaa eeeh ni leo tu nimepata habari kuwa KOMBA,LUKUVI,NOAH RAMSEY(akiunganishiwa na marehemu) wamekamega hako katoto!!
   
 13. K

  Kilamia Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kwa hao wabunge ambao hawako Dodoma, wanaweza kutuhakikishia kuwa ni watu wa majimbo yao wamewatuma kuhudhuria msibani na kuacha kuwawakilisha bungeni?
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,515
  Trophy Points: 280
  TK, mimi nimeuliza tuu yaani kati ya viongozi wote waliopo pale, inaamaana walioonekana ndio hao wa CCM tuu?!.

  Mbona mimi huku mbali nimemuona Mhe. Sugu?!. Hivi unaweze usimtaje mbunge ukamtaja mwenezi wa chama fulani tuu?!.
   
 15. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  clouds, ccm, hovyo tu,
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Je nape na Mkama tokea wazaliwa walishakuwa na mawasiliano yeyote na kanumba? kwanini leo? je wakiojiwa watasema walimuona wapi?
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Leo Pasco umetoa point sana...

  Kwanza tujiulize hii haki ya kufanya huu msiba ni wa Clouds radio na Tv imepatikanaje, wameivamia tu kama kawaida yao??
  Pili tujiulize kwa nini wamuweke kichaa kuwa MC, kwa jinsi Kibonde anavyopenda kuropoka simtofautishi na kichaa. Ila kikubwa kinachopelekea yote haya kutokea ni ile desturi ya watanzania kupenda kujipendekeza na ku-side na wenye power. Hawataki kabisa kukubaliana na ukweli kuwa Kanumba aliplan siku moja kugombea ubunge kupitia CDM, wanatamani hata kumpa kadi ya chama chao akiwa mfu ili kulitafutia ubani li chama lao la KUVUNDA
   
 18. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haiwasaidii sana hata wasipowataja viongozi wa upinzani
   
 19. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ajira kwa vijana mzee
   
 20. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Shaaabash!!
   
Loading...