Kama ulidhani kampeni ya kudai Katiba Mpya ni Masihara jitafakari, hebu msikilize Askofu Mwamakula

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,194
217,151
Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU.
Sema amina

Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa maslahi yao binafsi.

Msikilize hapa.

 
Dini na siasa za kisekula wapi na wapi?

Ungeniambia wale wapakwa mafuta na mitume ya Yehova ili wawatawale wana wa Israeli hapo sawa.

Wana wa Israeli imebaki historia tu.

Nakusalimu kwa maamkizi ya mwanzo wa wiki kwetu wakazi wa Israel, SHAVUA TOV YETZER HA-TOV🙏
 
Wa Kanisa gani?
Moravian Tanzania , Great Thinker wakishamuona Mtu machachari huwa wanajaribu kujitahidi kumfahamu , Ni aibu sana kama hadi leo humfahamu Mwamakula , mtu aliyesomea na kusimikwa uaskofu nchini Uingereza .

Nakupa njia fupi ya kumjua Mwamakula Hebu fuatilia Mageuzi ya kanisa la Moravian jimbo la Rungwe yaliyozalisha Moravian ya Kyela
 
Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU ,
Sema amina

Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa maslahi yao binafsi .

Msikilize hapa .

View attachment 2010613
mwamakula sio askofu, ni manachadema, pia nawaonea huruma kwasababu mnamwamini sana kumbe ni pandikizi. kalagha baho. hivi kweli iwewe ujiite askofu lkn unashinda kweney mikutano yote ya chadema, unashinda mahakamani kwa mbowe, unashida barabarani, kwani hauna kanisa? na unashadadia chama kimoja tu, kwani waumini wake wote ni cdm? anahubiri saa ngapi pale?

Halafu ni mtu aliyejiita askofu baada ya kuasi ndio maana hana jengo la kanisa na wanajiita moravian waliojitenga...
 
Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU ,
Sema amina

Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa maslahi yao binafsi .

Msikilize hapa .

View attachment 2010613
Wameshaanza kufedheheka. Mfalme Sauli alizuia mchakato wa Katiba alikufa kifo cha aibu kule milima ya Goeni kwa kupiga nchi ya mkuki.
 
mwamakula sio askofu, ni manachadema, pia nawaonea huruma kwasababu mnamwamini sana kumbe ni pandikizi. kalagha baho. hivi kweli iwewe ujiite askofu lkn unashinda kweney mikutano yote ya chadema, unashinda mahakamani kwa mbowe, unashida barabarani, kwani hauna kanisa? na unashadadia chama kimoja tu, kwani waumini wake wote ni cdm? anahubiri saa ngapi pale? halafu ni mtu aliyejiita askofu baada ya kuasi ndio maana hana jengo la kanisa na wanajiita moravian waliojitenga...
Utopolo. Akiwa Gwajima ni askofu akiwa Mwamakula sio askofu
 
Dini na siasa za kisekula wapi na wapi ?!!!!

Ungeniambia wale wapakwa mafuta na mitume ya Yehova ili wawatawale wana wa Israeli hapo sawa.....

Wana wa Israeli imebaki historia tu......

Nakusalimu kwa maamkizi ya mwanzo wa wiki kwetu wakazi wa Israel,SHAVUA TOV YETZER HA-TOV🙏
Mtaa nyooka tu kuifuta KATIBA MPYAA
 
Back
Top Bottom