Spika Tulia na kauli ya "peleka swali la msingi" ni kuwahujumu wabunge na kuilinda serikali. Je, hataki mawaziri mizigo waumbuke?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,368
Natoa angalizo, Bunge kuwa live sisi tunafatilia hata kama ni la chama kimoja.

Najua Ili Bunge Kuna baadhi ya wabunge na baadhi ya mawaziri ni mizigo.

Mfano, mbunge wa Sengerema amekuliza swali zuri, nanukuuu!

"Mh Waziri Kuna ngedere wengi wapo kisiwa cha Juma wanavamia mpaka mashamba ya watu lini mtawapunguza hawa ngedere?"

Waziri yupo tayari kujibu ila spika anamzuia na kumwelekeza mbunge apeleke swali la msingi. Nini hiki?

Mbunge mwingine anauliza Kuna watu wanauwa huko kwenye hifadhi, je inaruhusiwa kuua unapovamia mbuga?

Waziri yupo tayari kujibu Spika anamkataza na kumwelekeza mbunge apeleke swali la msingi. Ni kitu gani hiki?
 
Back
Top Bottom