Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku zote jitahidi sana kuepuka kushindana na Aliyejaaliwa , bila shaka atakushinda tu . Haya ndio yanayotokea sasa nchini Tanzania , huko Mbezi Juu wakati wa kampeni kabambe ya Join The Chain (...
34 Reactions
97 Replies
5K Views
Kwema Wakuu! Kuna viongozi wakipewa dhamana wanarukwa sijui na akili, wanafoka foka, kufokeana watu wazima ni kudhalilishana tu. Hakuna aliyekulazimisha uteua mtu, Kama mtu kaboronga fukuza...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast. Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Leo kulikuwa na tukio la Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao Mbowe. Lilikuwa ni tukio linaluhusu zaidi ushiriki wa watanzania. Cha ajabu na masikitiko makubwa, hakukuwa na muitikio wa wananchi...
14 Reactions
110 Replies
9K Views
Sasa ni dhahiri kwamba gari limewaka , ni elimu na mashambulizi kila kona ya nchi . Huu ni mkutano wa Ndani wa Baraza la Uongozi Kanda ya Serengeti unaofanyika hii leo .
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani...
66 Reactions
149 Replies
14K Views
CAG Charles Kichere: Nilipopitia taarifa za fedha za NHIF, nilibaini taarifa zinaonyesha wanaume wamepewa huduma ya kujifungua kwenye vituo vya afya. CAG Charles Kichere: Wizara ya Maliasili na...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Mbunge wa jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Marwa Ryoba Chacha amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) muda mfupi...
20 Reactions
534 Replies
75K Views
Waziri Nape ameanza ziara nchi nzima kwa kutumia helikopta kuhamasisha zoezi la anuani ya makazi. Sio jambo baya ila linafanywa kwa wakati ambao sio sahihi. Kwa nini? Kwa sababu hili zoezi...
13 Reactions
98 Replies
6K Views
Wameandikisha kwa asilimia saba tu makalla tumbo la moto RC MAKALLA UJENZI WA VITUO VYA AFYA NA ANWANI ZA MAKAZI HALMASHAURI YA JIJI HAWAJAFANYA VIZURI*. - Ni Baada ya Kusuasua zoezi la anuani...
1 Reactions
0 Replies
523 Views
Ni suala la wakati tu. Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu. CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Something is not right, s'thing is quite wrong mazee.. Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
34 Reactions
355 Replies
17K Views
TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Mwalimu alinukuliwa akisema “Wana - TANU wanaipenda TANU wana - AFRO wanaipenda sana AFRO yao wanajivunia vyama hivi vimefanya kazi, vina heshima na uzito wake unajulikana kabisa, tunavivunja...
2 Reactions
13 Replies
610 Views
Leo naomba nichambue siasa za Kimataifa, nitaangazia hali ya mambo ya siasa Marekani na Ufaransa ambako michakato ya kisiasa inaendelea muda huu kwa vuguvugu kubwa katika ya vyama tawala na vyama...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mbunge unakosa hoja ya kulisemea taifa lako unaongelea upuuzi?! Kwamba changamoto lukuki zinazowakabili wana-Rukwa huyo mpuuzi kaiona ya viuno vya wanaume kuumia viuno ndiyo agenda kuu...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko akichangia leo bungeni mjini Dodoma amesema kutokana na kuibuka kwa matukio mengi ya ukatili wa watoto anafikiria kuwa wanaobainika kufanya hivyo wahasiwe ili...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Tulielezwa kuwa wenye mamlaka ya kutangaza wagonjwa wa corona nchini ni watu watatu, ambao ni waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri mkuu Kassim Majaliwa na Rais mwenyewe, John Magufuli Upande wa...
13 Reactions
43 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…