SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
390
385
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini.

Msikilize hapa:
 
Kwani Kinana hajui tatizo letu ni vita ya Urusi na Ukraine?

Naona wanayoendelea kuyafanya sasa ni kuonesha vile walivyo na mwenyekiti dhaifu.
 
Mchawi ni CCM wala siyo mawaziri.Msikilize mwenyekiti wa CCM hapa🐒🐒🐒
 
Wanajadili nini wakati mwenyekiti kishatoa msimamo kuhusu wa mfumko wa bei!
Hakika,Amiri jeshi mkuu katoa tamko ni lazima vitu vitapanda being.Sasa mawaziri watajadili nini,hicho kikao cha chama kingemjadili aliyetoa tamko.Siku ileile chapati 700
 
Wataalam wa BOT ambao moja ya mandate yao ni kushughulikia mfumko wa bei mbona sijawahi kuwasikia wakizungumzia hii issue muhimu sana inayoumiza watu wengi kwa sasa
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini.

Msikilize hapa:View attachment 2183925
Yaani hao vinaja wanakuja kuamshwa na kinana very cheap

USSR
 
Kuna kujadili mstakabali wa nchi kwa maslahi ya wananchi na kuna kujadili maslahi ya wawekezaji.
'Mama' alishasema anafungua nchi kwa kukuza bureaucracy.
Je, nani atakuwa tayari kuwatwisha mzigo wawekezaji na kuwatua mzigo wananchi? Kuondoa tozo na kupunguza gharama za bidhaa zinazozalishwa nchini!
 
Kinana naye anaanza sarakasi, bado anaamini hayo maigizo yatavutia watu. Mwenyekiti kashasema bei zitapanda, sasa anahoji nini yeye?
 
Wataalam wa BOT ambao moja ya mandate yao ni kushughulikia mfumko wa bei mbona sijawahi kuwasikia wakizungumzia hii issue muhimu sana inayoumiza watu wengi kwa sasa
hahaaaa wataalam wenyewe ndio wale wanaongozwa na lile profesa lenye macho ya usingizi linaleeeeewaaaaa mpaka linajikojolea, kweli kuna sehemu tulimkosea sana Mungu tunatakiwa kumrudia sana
 
Waanze na Nape, kumpiga stop, kujipa ma allowance, za kuzunguka na chopper!
Matumizi mabaya ya fedha! Bora wagawe mafuta ya Kula nchi nzima!
 
Wataalam wa BOT ambao moja ya mandate yao ni kushughulikia mfumko wa bei mbona sijawahi kuwasikia wakizungumzia hii issue muhimu sana inayoumiza watu wengi kwa sasa

Waliopo BOT ni watoto wa vigogo, wanakula na kusaza....

Mawaziri, wamevimbiwa.....hamuna kitu... wanafikiria mbio za urais
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini.

Msikilize hapa:View attachment 2183925
Mbona vicheko vya high tablers ni kama vya kinafiki
 
Wataalam wa BOT ambao moja ya mandate yao ni kushughulikia mfumko wa bei mbona sijawahi kuwasikia wakizungumzia hii issue muhimu sana inayoumiza watu wengi kwa sasa
Wasomi wetu wote utadhani wana PhD ya political science au ya msukuma. Siasa kila sehemu.
 
Kinana naye anaanza sarakasi, bado anaamini hayo maigizo yatavutia watu. Mwenyekiti kashasema bei zitapanda, sasa anahoji nini yeye?
Si mbaya kama wakijadili zinapanda kwa kiasi gani sio huu mfumuko wa sasa ambao hauna brake
 
Bunge ni la wanaccm watupu na watakaa humo bungeni siku 90 washindwe kujua bei zitapanda kiasi gani, hako kagenge kwa Kinana ndio katapata majibu ya maana?
 
Back
Top Bottom