Mod, naomba usibanie uzi huu kwa sababu si uchochezi, bali ni uhalisia unaotokana na Katiba yetu.Nadhani huu ndiyo wakati kwa wabunge kuajiandaa KUPIGA KURA ya kutokuwa na imani na Rais Jakaya...
Ndugu msomaji wa nakala hii fupi. Habari ya wakati huu. Naomba rejea kichwa cha nakala hii kama kinavyojieleza hapo juu.
Naomba kunukuu
"Tunahitaji mgombea binafsi wa ubunge ili wabunge wawe huru...
Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Alipaswa kumuona Lissu...
Twende moja kwa moja kwenye nada..
Kuna tabia imezuka kwenye utumishi wa Umma ya kuwapa watu ajira za mikataba licha ya kwamba wamestaafu.Tabia hii imekita mizizi kwa TANROADS na TARURA.
Tabia...
Bajeti ya mwaka 2021/2022 iliyopitishwa na Bunge ukiondoa masuala ya kulipa deni la taifa na matumizi ya serikali ikiwemo kulipa mishahara ya Watumishi, kiasi cha Shilingi Trillion 4 zilitengwa...
Mh Mwigulu nakushauri uende kuwaona wazee wawili- mzee Msuya na mzee Mtei ambao nina hakika unajua walikuwa mawaziri wa fedha kama wewe wakati ule wa shida kuliko hizi za leo- ila walisimamaia...
Tuhuma kuhusu Paul Makonda kughushi vyeti vya elimu zilitajwa sana katika awamu ya tano wakati wa msako wa vyeti feki. Wakapululiwa watumishi walioghushi vyeti lakini Paul Makonda akaachwa licha...
Ili kupunguza gharama za maisha nilitegemea kipindi kama hichi viongozi washauri baadhi ya watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari.
Gesi asilia (CNG) ni nishati ambayo...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amechaguliwa kuwa mshindi wa tuzo ya Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy kwa mwaka 2022.
Tuzo hiyo inatolewa kwa watu mashuhuri barani Afrika ambao wameonyesha...
Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa...
Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima...
Ruble inayoungwa mkono na dhahabu inaweza kubadilisha mchezo (INTERVIEW)
Kuunganisha sarafu na dhahabu na nishati ni mabadiliko ya dhana kwa uchumi wa dunia, mchambuzi wa madini ya thamani...
Ukisoma au kusikia Report za CAG, utagundua kwamba haya mambo yana jirudia rudia awamu zote, hata wakati wa Magufuri madudu kibao yalikuwepo. Kupitia hizo report utagundua kwamba kwenye utawala wa...
Wanabodi,
Hii thread ya swali moja tuu kuhusu dhana ya udikiteta Tanzania, Jee huu Udikiteta unaozungumzwa sana sasa hadi baadhi ya watu wanataka kujenga UKUTA, upo kweli in reality au ni dhana...
Wanajamvi, wakati mkuu wa mkoa wa Dar Makonda alipokuja na ile listi ya manguli wa madawa ya kulevya, nilijuwa tu ilikuwa ni “bosheni”
Nilisema kuna watu anawaondoa kwenye biashara ili baadhi ya...
Picha: Paul Makonda
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kinondoni impe muda wa kujibu maombi yaliyofunguliwa na mwanahabari, Saed Kubenea ya...
Marekani, Uingereza na Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa zitazuia uagizaji wa mafuta kutoka Urusi.
Hatua hiyo ilichukuliwa baada ya Urusi kuonya kuwa inaweza kukata usambazaji wa gesi kwa nchi za...
Mama yetu gesi asilia kwa jina jingine inaitwa METHANE (CH4), kama unavyoiona hapo in kaboni moja. Gesi hii inamatumizi mengi kama vile KUPIKIA, KUWASHIA, KUZALISHIA UMEME, KAMA NISHATI VIWANDANI...
Siku zote jitahidi sana kuepuka kushindana na Aliyejaaliwa , bila shaka atakushinda tu .
Haya ndio yanayotokea sasa nchini Tanzania , huko Mbezi Juu wakati wa kampeni kabambe ya Join The Chain (...