BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,549
- 14,223
Ukisoma au kusikia Report za CAG, utagundua kwamba haya mambo yana jirudia rudia awamu zote, hata wakati wa Magufuri madudu kibao yalikuwepo. Kupitia hizo report utagundua kwamba kwenye utawala wa CCM uffisadi hauwezi isha wala kupungua, CCM na uffisadi ni walisha funga ndoa kitamboa sana.
Hakuna kitu hata huyu mama atafanya kwenye kupambana na ufisadi tena kwa huyu Mama watu watakula hata bila kunawa mikono kwanza.
Mifumo ya kulindana ndo chanzo kikubwa cha ufisadu kuto isha ndani ya utawala wa CCM, pesa zitaendelea kutafunwa sana na sisi raia tutaishia kushangilia sana, yaani wao wanapiga pesa sisi tunashangilia kwa wao kutumbua pesa.
Bila mabadiliko ya kweli, swala la Ufisadi kwa CCM haliwezi hata punguzwa.