Kura ya kutokuwa na imani na rais kikwete huu ndiyo wakati wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura ya kutokuwa na imani na rais kikwete huu ndiyo wakati wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwitongo, Oct 19, 2012.

 1. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mod, naomba usibanie uzi huu kwa sababu si uchochezi, bali ni uhalisia unaotokana na Katiba yetu.Nadhani huu ndiyo wakati kwa wabunge kuajiandaa KUPIGA KURA ya kutokuwa na imani na Rais Jakaya Kikwete kwa sababu ameshindwa kuongoza. Haiwezekani vurugu zote hizi nchini ziendelee, si yeye, Makamu wa Rais, wala Waziri Mkuu anayeshituka kuchukua hatua za kukemea kwa nguvu zote.

  Katiba ya sasa imeainisha vizuri namna ya kumwondoa Rais madarakani kwa kutumia Katiba hiyo hiyo. Ndiyo maana napendekeza wabunge wajiandae ili Oktoba 30 watakapokutana mjini Dodoma, ajenda kuu ya Mkutano huo iwe kumwondoa Rais madarakani kutokana na kushindwa kwake kuilinda Katiba na Watanzania wote. JK asiponaswa kwenye udhaifu huu wa sasa, hatanaswa tena hadi 2015.

  Nawasilisha.
   
 2. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sidhani kwa Bunge hili kama linaweza. Kumbuka asilimia kubwa ya Wabunge ni Magamba.
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Chaguo la mungu! subira yavuta kheri bado miaka mitatu tuu!
   
 4. K

  Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 1,221
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Hivi jikumbushe katiba ya nchi inasemaje hivi kuhusu kutokuwa na Imani na Rais,Halafu urudi hapa na msimamo huo huo!
   
 5. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi nilianzisha uzi kama huu lakini mod aliupiga chini..angeacha tuujadili.
   
 6. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Jamani, miaka mitatu ni mingi sana! nchi itabaki magofu na mifupa iliyozagaa kila kona. Huyu bwana kashindwa. Afanye nini ili muweze kuamini kuwa kashindwa?
   
 7. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Chaguo la Mungu miaka 7 hamna kitu, au ndo kusema " vumilia mpaka mwisho"
   
 8. K

  Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 1,221
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  sio mingi na hajashindwa yuko OMAN na bado nchi inaendelea!
   
 9. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Povu tu. Wabunge wenyewe hawa wa CCM na Speker/Amplifier Makinda?
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wabunge gani unaotegemea wanaweza kufanya hayo????? Ni hawa wa CCM????? Sidhani, tungoje hadin 2015 kama tutakuwa hai tupige kura chama tunachotaka kishinde na kama kura zitatosha basi labda tunaweza kuona mabadiliko.
   
 11. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wabunge wa ccm(magamba) ni janga kwa taifa,maana hawana say yoyote!!
  So kitu kama hicho ni ngumu kutokea kwenye nchi kama hii
   
 12. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Napendekeza Mkono, Filikunjombe na Lugola waanzishe harakati hizi, ili kama liwalo na liwe!
   
 13. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni njia ngumu kufanikiwa, rahisi ni mass strike-mwanzo mwisho kama Misri na Tunisia-Ingawaje kwa wa-TZ moyo huo hamna
   
 14. a

  artorius JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 758
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huku posta mbona polisi wengi sana leo
   
 15. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wewe nani atasema haya, kumtoa Raisi ina maana kampeni zirudiwe na wao warudi majimboni nani atarudi thubutu ?
   
 16. a

  adolay JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Wabunge hasa wa ccm ni mbumbumbu wasio yajuwa majumu yao kwa watanzania kama waajiri na wawakilishi wao.

  Nchi inayumba hivi sasa vibaya

  Elimu iko ICU

  Afya iko ICU

  Amani iko ICU

  Kila kitu kiko Intensive Care Unity (ICU) Hakuna emergency response, wala long term rescue plan.

  Lakini wabunge wapo na kwa umbumbumbu wao kila mmoja wao anapohitaji matibabu hupitia muhimbili kupata go ahead

  then India, Germany nk. Je wale watanzania maskini wanaoishi kigwa, Lutona mpaka Loya -tabora vijiji nakwingineko waende wapi?

  Kwa wabunge hawa tulionao hususani wa ccm, heshima, uhai na umoja wa watanzania upo ICU na hakuna Recovery

  plan. Enzi za nyerere Askari polisi kuuliwa ilikuwa balaa kwelikweli, mji mzima mtakimbia na mhalifu alipatikana mara moja.

  Mwangosi angeuwawwa wakati wa mwalimu wale polisi wote 7 muda huu zamani wangesha kula mvua za maisha, maana

  haihitaji ushaahidi wakati picha zinajieleza! sasa ngoja bunge lianze uone vilaza pale dodoma watakavo potosha ukweli

  wamabo kanakwamba ni vipofu na masikio hawana hususani kwa mambo matatu manne hivi.

  i) Kuuwawa kwa askari polisi Zanzibar

  ii) Kuuwawa kwa mwangosi mikononi mwa polisi

  iii) Kuchomwa kwa makanisa kona zote Tanzania (Kigoma, Ruvuma, Zanzibar, Dar es salaam nk) Zaidi ya makanisa 30.

  iv) KUUwawa kwa Ally morogoro nk


  Mambo haya manne na ukimya wa watawala katika kuyashughulikia, ilitosha kuwafanya wabunge kuiwajibisha serikali bila kigugumizi.
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,430
  Trophy Points: 280
  Huyu alitakiwa aondolewe madarakani tangu 2007 baada ya kuonyesha udhaifu mkubwa katika uongozi lakini kutokana na kuwa na katiba iliyopitwa na wakati bado anaendelea kupeta tu huku nchi ikizidi kudidimia kwenye kila nyanja.
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nani wa kumfunga paka kengele!
  Ila hoja ikianzia CCM ni rahisi kupata support ndani ya CCM na vyama vya upinzani not otherwise
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Taarifa za kiintelejensia zinasema waislamu wataandamana kwenda ikulu
   
 20. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,401
  Likes Received: 1,525
  Trophy Points: 280
  ......tunamwomba Mungu amwadhibu huyu jamaa na naamini ataadhibiwa na Mwenyezi Mungu
   
Loading...