SHAKA ASEMA CCM INARIDHISHWA NA UIMARISHWAJI WA SEKTA YA HABARI NCHINI
Hayo yameelezwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka katika Uzinduzi wa Jengo...
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais...
Huu ni ushauri tu ambao ana hiyari ya kuufikiria ama la.
Jana nimeona wazungu wa World Bank waliomzunguka ni wakongwe watupu wa masuala ya fedha duniani nikapata shaka kama huyu Dkt. Mwigulu...
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwenye Jumatatu hii ya Pasaka , Kwamba Mheshimiwa Juma Raibu aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , kabla ya kung'olewa hivi karibuni , ameanza...
Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote.
Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo...
MAGUFULI THE STORY OF AFRICA.
Leo 20:30hrs 18/03/2021
Our Father John Pombe Magufuli,You took us on the top of Mount Kilimanjaro and make us shine beyond our borders,You took us to the Center of...
Hivi vyama ambavyo huwa vikianza kwa mbwembwe na kusifiwa mapema kabla ya kutimiza hatua muhimu za usajiri huwaga vikipotea na kukosa mvuto baada ya kupata Usajili kamili, nakumbuka CCJ enzi za...
Mbunge wa Singida, Kaskazini, Ramadhani Ighondo amesema wananchi wa jimbo hilo wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan madebe 10 ya asali, kuku na mafuta ya kula ya Alizeti kutokana kuwajengea...
IDARA ya Habari-Maelezo imemtaja Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi kilele cha maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari ambayo kitaifa...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA TAMISEMI NA MAENDELEO VIJIJINI NDG. KULTHUM J. MCHUCHULI
Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 14 April 2022...
Habari za uhakika kutoka vyanzo vya kuaminika vimetufikia vikiwa na nyaraka muhimu zinazo onesha jinsi kigogo wa ccm aliyekuwa Mayor wa halimashauri ya Bukoba Mjini enzi hizo alivyojipatia...
KINANA AUNGANA NA WANA CCM WENZAKE KUFANYA UCHAGUZI KATIKA SHINA LAO - KINONDONI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana leo Aprili 19 ...
Nauliza TU si kwa ubaya NI kwanini wanasiasa peke yao ndo wanaonekana kusababisha ufisadi wakati sote tunajua serikali inafanya kazi kupitia watendaji wake au watalaam wake. Wizi upo kila sehemu...
Hili ndio jambo ambalo Wananchi na viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa , kwamba Watalii pamoja na kufuata vivutio lakini suala la utulivu na usalama wao ni jambo la kwanza kabisa na muhimu...
Wabunge kama hawa akili zao ziko very stagnant, hawana tena mawazo mapya ya kuwasaidia wananchi wao na Taifa kwa ujumla.
Sehemu kama hii muhimu anasimama anatoa mchango wake binafsi , kwamba...
Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya Leo ikiwa ni makala ya swali la hypothetical question (swali la kufikirika), Kwa njia ya "thinking aloud", yaani...
Gavana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania.
Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa...
kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia
nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile...