Anatory Amani alivyopiga Tsh 206,333,333/= za NSSF, kupitia Morites Staff SACCOS

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Habari za uhakika kutoka vyanzo vya kuaminika vimetufikia vikiwa na nyaraka muhimu zinazo onesha jinsi kigogo wa ccm aliyekuwa Mayor wa halimashauri ya Bukoba Mjini enzi hizo alivyojipatia mamilioni ya fedha,206,333,333 fedha za mafao ya wafanyakazi wa kitanzania wanao katwa Kila mwezi kupitia mfuko wa ifadhi wa Nssf.

Habari kamili Iko hivi.
Natanguliza maelezo ntaweka na nyaraka.

Mwaka 2007,Ndugu Anatory Amani kupitia kampuni yake inayosimamia shule zake ijulikanayo kwa jina la MORITIES COORPORATION LTD, kupitia wafanya kazi walio kuwa chini ya kampuni hiyo walianzisha Chama Cha ushirika wa watumishi wa kampuni hiyo ambayo ilikuwa inamiliki shule na vitu vingine.

Chama hicho walikisajiri kwa jina la MORITIES Staff Saccos Limited,baada ya usajili chama hicho mwaka 2013 kilipatiea mkopo mkubwa na mfuko wa ifadhi wa Nssf.

Kimsingi kilikopeshwa chama, baada ya mamilioni kukopeshwa hapo Saccos Ndipo ndugu Anatory Amani kwa kushirikiana na Mtu aliyetambulishwa kwa jina Pendo Amani kupitia kampuni tanzu ya MORITIES COORPORATION LTD waliamua kuomba mkopo kutoka saccos hiyo na kimsingi kwa kuwa kampuni ilikuwa ni Yao walitumia infulence Yao kupatiwa, mkopo wa Milioni 164,000,000/= mkopo huo ulikuwa na Riba ya Milioni Sitini na nne kwa maana ya 64,000,000/= kutoka mwaka 2013 mpaka mwaka 2018.

Ilikuwezesha kupata fedha hizo, kampuni hiyo ilitakiwa kuwa na Akiba ya robo ya mkopo walizoomba kwa mujibu wa uchunguzi umebainisha yakuwa Ili kuwezeshwa kukopeshwa chama kiliweka kwenye Akaunti ya chama shilingi Milioni 33,000,000/= (fedha hizo hazikuwekws ni hewa)kwa mujibu wa uchunguzi wetu tumebaini yakuwa Anatory Amani meya mstaafu alilazimisha kukopeshwa fedha hiyo ya Akiba akidai kuwa atailipa pamoja na mkopo huo.

Kwa msingi huo pesa msingi aliyokopa ilikuwa ni shilingi Milioni 164,000,000/= msingi

Shilingi Milioni 64,000,000/=riba ya mkopo a
Shilingi Milioni 33,000,000/= Akiba ya mkopo.

TIM WIKI laanza.

Kwa mujibu wa uchunguzi Wetu sisi wenye kazi yetu, Anatory Amani pamoja na Mwanae ambae Ametambulika kwa jina la Pendo Amani.

Walipo maliza kufanikiwa kupatiwa mkopo wa mamilioni Ili kupoteza ushahidi wa deni ilo waliamua kiwafukuza wale viongozi walio kuwa ni wajiliwa wa shule walio kuwa vimberere kuwadai na wali jua Siri za mkopo huo.

Ili kupoteza ushahidi wa deni ilo lore waliamua kiwafukuza asilimia 90 % ya walimu waliokuwa wanalijua ilo jambo wakiamini yakuwa endapo serikali ikiwakosa hao walio kuwa wanachama basi itakuwa imepoteza ushahidi wote wa mkopo na baada ya hapo chama kitafutwa na fedha za umma zitakuwa zimepotelea mbali.

Miaka minne baadae kwa mujibu wa uchunguzi Meya huyo alilazimika kutumia nguvu alizokuwa Nazo kuhakikisha anawafunga midomo Maafisa ushirika walio jitia kidomo kidomo na kimsingi kupitia mkurugenzi aliyekuwepo MAYOR huyo wa ccm kwa nguvu alizokuwa Nazo alifkia hatua Maafisa ushirika kuamishwa wilaya kwa kosa la kuhoji Mamilioni hayo ya fedha.

Atangeneza Mazingira chama kifutwe Ili ushahidi Upoteee kabisa fedha hizo ziliwe.

Katika Hali ya kushangaza MAYOR Anatory Amani ulipoaingia utawala wa Mwendazake alikosa usingizi sana na kuangaika kule na huku kuhakikisha chama hiki Cha ushirika kinafutwa.
Katika kuhakikisha kinafutwa akiangaika sana na kukosa pa kupenyeza sumu badala yake aliendelea kuwaafunga midomo viongozi walio Saini mkopo wa Nssf kwani wao walikuwa wakipigiwa simu.

Chama chaingizwa kwenye orodha ya vyama vya kufilisiwa na Mrajisi mkuu Taifa.

Katika Hali ya kustajabisha chama Cha ushirika pamoja na mamilioni ya fedha kiliyonayo Bado mrajisi mkuu Taifa amekiingiza kwenye Vyama vinavyotakiwa kufilisiwa ila kwa sharti la kuhakikisha waliokopa fedha wote wanazirejesha haraka iwezekanavyo.

KIKOSI KAZI CHAUNDWA KUHAKIKISHAF FEDHA ZINARUDI.

Tarehe 19/04/2022 kikosi kazi malumu kimetua mkoani kagera na kufika ofisi za MORITIES Staff Saccos kikiwa na majina ya wadaiwa sugu Wote akiwemo Anatory Amani.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake, bwana mmoja ambae ndiye kiongozi wa kikosi kazi hicho alikili kukabidhiwa majina Zaidi ya Mia moja likiwemo jina la MORITIES cooperation na tayari wameisha Anza mchakato wa kuhakikisha wanamuita Anatory Amani na mwanae wa kike anae julikana kwa jina la Pendo Amani Ili waweze kuwajibika kwa kulipa ilo deni au kufikishwa kunakostaili.

"Sisi tumekabidhiwa majina mengi na jina la hiyo taasisi ndugu Mwandishi lipo na tupo kwenye mchakato wa kuwatafuta viongozi wa kampuni hiyo Ili waweze kulipa deni Hilo haraka iwezekanavyo"

Sambamba na deni ilo inasemekana dhamana za mkopo huo pia hazikuwa vizuri kwani mamilioni ya fedha hizo yalidhaminiwa kwa Gari mbili tu nisani na Pajero ambayo yameandikwa tu pamoja na mdhamini mmoja aliyejulikana kwa jina Escdo enterprises limited kampuni ambayo mpaka Sasa hatujafanikiwa kumjua mmiliki. Wake.

Kwa mujibu wa uchunguzi umebainisha yakuwa kati ya mamilioni hayo Mayor huyo wa zamani kwa tikwti ya chama Cha Mapinduzi nduguAnatory Amani Alisha lipa kiasi Cha Milioni 13,000,000 tu.

Katika harakati za kumtafuta Ili aweze dhibisha tuuma hizi, alipigiwa simu mara kadhaaa simu ilionesha kutumika hata alipo pigiwa mwanae nae hakuweza kupokea na kudhibithisha.

SOMA NYARAKA MUHIMU hapa chini jinsi alivyofanikiwa kujipigia pesa za umma.

Watu wanastaafu wanatafuta mafao hakuna kumbe yapo mikonono mwa watu wachache mtu na mwanae tu.

Habari hii ni kweli na haki,tuseme kweli Ili ituweke huru nchi yetu sote huu sio uzalendo View attachment 2193072View attachment 2193073
IMG-20220413-WA0004.jpg
 
Habari hii ni kweli na haki,tuseme kweli Ili ituweke huru nchi yetu sote huu sio uzalendo View attachment 2193072View attachment 2193073View attachment 2193074
Kwa hiyo hawa CAG Kichere hakuona au ni hasira zake kutolewa TRA kwenye ulaji wa kufuru?
 
Hao ndio wale CCM awakutaka kumsikia kabisa Magufuli; wanachojua wao ni kuiba tu.

Inaonekana Saccoss yenyewe iliundwa for money laundering purposes only, kwa ushirikiano wa bwana Amani na Kigogo mmoja ndani ya NSSF.

Hii nchi ilikuwa inachezewa sana, hivi saccoss inaweza kopesha mwanachama mmoja hela nyingi ivyo, tena mkurugenzi ndio anajikopesha.

TAKUKURU kimya halafu mtu kama huyu ilikuwa akifinguliwa kesi ya uhujumu uchumi; utawasikia vibaraka Magufuli apendi matajiri, wakati mijitu yote iliyokuwa na kesi hizi ukisikia waliyofanya ni mijizi aijatokea ndio sampuli ya bwana Anatory sijui ilikuwaje akukamtwa.
 
Unataka kusema wewe mleta mada hujawahi kuiba maishan mwako tangu uzaliwe?!
 
Hao ndio wale CCM awakutaka kumsikia kabisa Magufuli; wanachojua wao ni kuiba tu.

Inaonekana Saccoss yenyewe iliundwa for money laundering purposes only, kwa ushirikiano wa bwana Amani na Kigogo mmoja ndani ya NSSF.

Hii nchi ilikuwa inachezewa sana, hivi saccoss inaweza kopesha mwanachama mmoja hela nyingi ivyo, tena mkurugenzi ndio anajikopesha.

TAKUKURU kimya halafu mtu kama huyu ilikuwa akifinguliwa kesi ya uhujumu uchumi; utawasikia vibaraka Magufuli apendi matajiri, wakati mijitu yote iliyokuwa na kesi hizi ukisikia waliyofanya ni mijizi aijatokea ndio sampuli ya bwana Anatory sijui ilikuwaje akukamtwa.
Takukuru Sasa wamefikishiwa hii ishu mezani kwao nilivyoambiwa Hali ni tete soon Mzee na mwanae wanabadilishna majengo ya serikali.
 
Habari za uhakika kutoka vyanzo vya kuaminika vimetufikia vikiwa na nyaraka muhimu zinazo onesha jinsi kigogo wa ccm aliyekuwa Mayor wa halimashauri ya Bukoba Mjini enzi hizo alivyojipatia mamilioni ya fedha,206,333,333 fedha za mafao ya wafanyakazi wa kitanzania wanao katwa Kila mwezi kupitia mfuko wa ifadhi wa Nssf.

Habari kamili Iko hivi.
Natanguliza maelezo ntaweka na nyaraka.

Mwaka 2007,Ndugu Anatory Amani kupitia kampuni yake inayosimamia shule zake ijulikanayo kwa jina la MORITIES COORPORATION LTD, kupitia wafanya kazi walio kuwa chini ya kampuni hiyo walianzisha Chama Cha ushirika wa watumishi wa kampuni hiyo ambayo ilikuwa inamiliki shule na vitu vingine.

Chama hicho walikisajiri kwa jina la MORITIES Staff Saccos Limited,baada ya usajili chama hicho mwaka 2013 kilipatiea mkopo mkubwa na mfuko wa ifadhi wa Nssf.

Kimsingi kilikopeshwa chama, baada ya mamilioni kukopeshwa hapo Saccos Ndipo ndugu Anatory Amani kwa kushirikiana na Mtu aliyetambulishwa kwa jina Pendo Amani kupitia kampuni tanzu ya MORITIES COORPORATION LTD waliamua kuomba mkopo kutoka saccos hiyo na kimsingi kwa kuwa kampuni ilikuwa ni Yao walitumia infulence Yao kupatiwa, mkopo wa Milioni 164,000,000/= mkopo huo ulikuwa na Riba ya Milioni Sitini na nne kwa maana ya 64,000,000/= kutoka mwaka 2013 mpaka mwaka 2018.

Ilikuwezesha kupata fedha hizo, kampuni hiyo ilitakiwa kuwa na Akiba ya robo ya mkopo walizoomba kwa mujibu wa uchunguzi umebainisha yakuwa Ili kuwezeshwa kukopeshwa chama kiliweka kwenye Akaunti ya chama shilingi Milioni 33,000,000/= (fedha hizo hazikuwekws ni hewa)kwa mujibu wa uchunguzi wetu tumebaini yakuwa Anatory Amani meya mstaafu alilazimisha kukopeshwa fedha hiyo ya Akiba akidai kuwa atailipa pamoja na mkopo huo.

Kwa msingi huo pesa msingi aliyokopa ilikuwa ni shilingi Milioni 164,000,000/= msingi

Shilingi Milioni 64,000,000/=riba ya mkopo a
Shilingi Milioni 33,000,000/= Akiba ya mkopo.

TIM WIKI laanza.

Kwa mujibu wa uchunguzi Wetu sisi wenye kazi yetu, Anatory Amani pamoja na Mwanae ambae Ametambulika kwa jina la Pendo Amani.

Walipo maliza kufanikiwa kupatiwa mkopo wa mamilioni Ili kupoteza ushahidi wa deni ilo waliamua kiwafukuza wale viongozi walio kuwa ni wajiliwa wa shule walio kuwa vimberere kuwadai na wali jua Siri za mkopo huo.

Ili kupoteza ushahidi wa deni ilo lore waliamua kiwafukuza asilimia 90 % ya walimu waliokuwa wanalijua ilo jambo wakiamini yakuwa endapo serikali ikiwakosa hao walio kuwa wanachama basi itakuwa imepoteza ushahidi wote wa mkopo na baada ya hapo chama kitafutwa na fedha za umma zitakuwa zimepotelea mbali.

Miaka minne baadae kwa mujibu wa uchunguzi Meya huyo alilazimika kutumia nguvu alizokuwa Nazo kuhakikisha anawafunga midomo Maafisa ushirika walio jitia kidomo kidomo na kimsingi kupitia mkurugenzi aliyekuwepo MAYOR huyo wa ccm kwa nguvu alizokuwa Nazo alifkia hatua Maafisa ushirika kuamishwa wilaya kwa kosa la kuhoji Mamilioni hayo ya fedha.

Atangeneza Mazingira chama kifutwe Ili ushahidi Upoteee kabisa fedha hizo ziliwe.

Katika Hali ya kushangaza MAYOR Anatory Amani ulipoaingia utawala wa Mwendazake alikosa usingizi sana na kuangaika kule na huku kuhakikisha chama hiki Cha ushirika kinafutwa.
Katika kuhakikisha kinafutwa akiangaika sana na kukosa pa kupenyeza sumu badala yake aliendelea kuwaafunga midomo viongozi walio Saini mkopo wa Nssf kwani wao walikuwa wakipigiwa simu.

Chama chaingizwa kwenye orodha ya vyama vya kufilisiwa na Mrajisi mkuu Taifa.

Katika Hali ya kustajabisha chama Cha ushirika pamoja na mamilioni ya fedha kiliyonayo Bado mrajisi mkuu Taifa amekiingiza kwenye Vyama vinavyotakiwa kufilisiwa ila kwa sharti la kuhakikisha waliokopa fedha wote wanazirejesha haraka iwezekanavyo.

KIKOSI KAZI CHAUNDWA KUHAKIKISHAF FEDHA ZINARUDI.

Tarehe 19/04/2022 kikosi kazi malumu kimetua mkoani kagera na kufika ofisi za MORITIES Staff Saccos kikiwa na majina ya wadaiwa sugu Wote akiwemo Anatory Amani.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake, bwana mmoja ambae ndiye kiongozi wa kikosi kazi hicho alikili kukabidhiwa majina Zaidi ya Mia moja likiwemo jina la MORITIES cooperation na tayari wameisha Anza mchakato wa kuhakikisha wanamuita Anatory Amani na mwanae wa kike anae julikana kwa jina la Pendo Amani Ili waweze kuwajibika kwa kulipa ilo deni au kufikishwa kunakostaili.

"Sisi tumekabidhiwa majina mengi na jina la hiyo taasisi ndugu Mwandishi lipo na tupo kwenye mchakato wa kuwatafuta viongozi wa kampuni hiyo Ili waweze kulipa deni Hilo haraka iwezekanavyo"

Sambamba na deni ilo inasemekana dhamana za mkopo huo pia hazikuwa vizuri kwani mamilioni ya fedha hizo yalidhaminiwa kwa Gari mbili tu nisani na Pajero ambayo yameandikwa tu pamoja na mdhamini mmoja aliyejulikana kwa jina Escdo enterprises limited kampuni ambayo mpaka Sasa hatujafanikiwa kumjua mmiliki. Wake.

Kwa mujibu wa uchunguzi umebainisha yakuwa kati ya mamilioni hayo Mayor huyo wa zamani kwa tikwti ya chama Cha Mapinduzi nduguAnatory Amani Alisha lipa kiasi Cha Milioni 13,000,000 tu.

Katika harakati za kumtafuta Ili aweze dhibisha tuuma hizi, alipigiwa simu mara kadhaaa simu ilionesha kutumika hata alipo pigiwa mwanae nae hakuweza kupokea na kudhibithisha.

SOMA NYARAKA MUHIMU hapa chini jinsi alivyofanikiwa kujipigia pesa za umma.

Watu wanastaafu wanatafuta mafao hakuna kumbe yapo mikonono mwa watu wachache mtu na mwanae tu.

Habari hii ni kweli na haki,tuseme kweli Ili ituweke huru nchi yetu sote huu sio uzalendo View attachment 2193072View attachment 2193073View attachment 2193074
Lazima anyolewe nywele kwa hili deni. Iwe bojooooo
 
Back
Top Bottom