Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna taarifa kwamba vijana watiifu kwa Dkt. Slaa pale CHADEMA mtaa wa Ufipa, Tundu Lisu na John Mnyika wanawindwa kwa udi na uvumba kuimarisha safu ya Umoja Party. Wamo pia wabunge kadhaa wa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka. " Hakuna kama Samia " Hakika kasi ya...
18 Reactions
202 Replies
57K Views
Nadhani TLS Ina wanachama wasio na akili na mawazo yakujitegemea;wanachama wengi wana mawazo kama yalivyo maono ya Watumishi wa Umma kwamba serikali ikupe posho,salary,nyumba,matibabu nk lakini...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha...
9 Reactions
41 Replies
6K Views
I think it’s now fair to ask; what exactly is her vision for the country? I’ve been racking my brain for over a year now trying to figure out what exactly this regime of Samia Suluhu Hassan wants...
17 Reactions
57 Replies
3K Views
Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo. 1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naam kama kichwa habari kinavyojielewa sote tumeshuhudia Zambia mpinzani akichukua nchi bila Katiba Mpya Nawashauri CHADEMA waache uvivu wa kufikiri kwa kudhani kuwa Katiba Mpya ndio itawafanya...
13 Reactions
59 Replies
4K Views
Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF) limewapitisha wanachama watatu wa chama hicho akiwamo Profesa Ibrahim Lipumba kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho. Akizungumza kwenye mkutano wa...
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, leo Jumamosi tarehe 12 Februari, 2022 amesema nafasi yake iko wazi… "Natoa wito na kuwahakikishia wanachama kwamba, hii nafasi ya mwenyekiti iko wazi...
10 Reactions
50 Replies
5K Views
TTCL Customer Care Tanzania nyie ni wapuuzi sana Nimefuatilia muda mrefu na nimegundua mnaruhusu wateja wasio wahusika wa alama za vidole kutumia special namba ya mtandao wenu kutoka kwa namba za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna kitu kidogo nimeona kama hakipo sawa au ndio sielewi. Mama Samia akiwa Marekani alikuwa akisalimiana na viongozi wa huko kwa kushikana mikono(picha namba 1,2,3) , Ila le baada ya kuja...
7 Reactions
84 Replies
5K Views
Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
2 Reactions
17 Replies
980 Views
Uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa, chuo cha VETA, mbuga, kulikuwa na mpango wa uwanja wa mpira nk nk. Je, Serikali itaiendeleza?
36 Reactions
303 Replies
37K Views
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema jambo kubwa lililofanywa na Muungano ni kuwaunganisha watanzania wote kwa mfano ukienda Unguja utawakuta Wachagga wengi sana wanafanya shughuli zao. Na ukienda...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao...
20 Reactions
122 Replies
11K Views
Uchumi wa Marekani ni wa juu kabisa lakini umeme unakatikakatika na wazungu hawapigi kelele. Sisi Tanzania tuko uchumi wa kati lakini umeme ukikatika kidogo tu makelele kibao hasa kutokea pande...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Nauliza tu kwa sababu Kiongozi wa Upinzani Bungeni KUB ni utumishi wa Umma na kuna taarifa za chini chini kwamba KUB wastaafu wanalamba mkwanja wa pensheni. Labda ndio maana akina mama firstlady...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Matumizi ya Rais ni pesa za walipa kodi, si kwamba zinashuka kutoka mbinguni, lakini cha ajabu kwenye kutumiwa eti hazitakiwi kuulizwa zinatumika vipi. Chukulia kwa sasa wako USA huko ni pesa...
16 Reactions
78 Replies
4K Views
Salam za jumapili wanabodi!! Napenda kuweka hii rejea mahsusi kwa siku za mbele!! Katika awamu ya tano kuna vitendo vya hovyo sana hasa ktk suala zima la matumizi ya pesa za umma. Na u hivyo...
100 Reactions
247 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…