Salamu ya Rais Samia alipokuwa Marekani na baada ya kuja Tanzania

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Kuna kitu kidogo nimeona kama hakipo sawa au ndio sielewi.

Mama Samia akiwa Marekani alikuwa akisalimiana na viongozi wa huko kwa kushikana mikono(picha namba 1,2,3) , Ila le baada ya kuja Tanzania leo hawakushikana mikono na viongozi wa hapa makamu wa raisi, waziri mkuu na makamu mwenyekiti wa CCM badala yake wakapeana salamu za kukunja ngumi(picha namba 4,5). Sababu ni ugonwa wa corono hivyo kushikana mikono sio salama na ndio maana wamesalimia na hivyo.

Bado najiuliza Ina maana wa nje ya nchi huko wao hata ukishikana nao mikono hauwezi kupata corona?

Na pia bado mm nachanganyikiwa zaidi, Ina maana ukiwa kwenye kundi la watu flani huvai barakoa na ukiwa kwenye kundi la watu flani unapaswa kuvaa barakoa?

20220428_111207.jpg
20220428_111248.jpg
20220428_112357.jpg
20220428_111311.jpg
20220428_111302.jpg

20220428_111232.jpg

20220428_111311.jpg

20220428_111302.jpg
 
Kuna kitu kidogo nimeona kama hakipo sawa au ndio sielewi.

Mama Samia akiwa Marekani alikuwa akisalimiana na viongozi wa huko kwa kushikana mikono(picha namba 1,2,3) , Ila le baada ya kuja Tanzania leo hawakushikana mikono na viongozi wa hapa makamu wa raisi, waziri mkuu na makamu mwenyekiti wa CCM badala yake wakapeana salamu za kukunja ngumi(picha namba 4,5). Sababu ni ugonwa wa corono hivyo kushikana mikono sio salama na ndio maana wamesalimia na hivyo.

Bado najiuliza Ina maana wa nje ya nchi huko wao hata ukishikana nao mikono hauwezi kupata corona?

Na pia bado mm nachanganyikiwa zaidi, Ina maana ukiwa kwenye kundi la watu flani huvai barakoa na ukiwa kwenye kundi la watu flani unapaswa kuvaa barakoa?

View attachment 2203456View attachment 2203458View attachment 2203466View attachment 2203467View attachment 2203469

View attachment 2203457

View attachment 2203459

View attachment 2203460
Nachoweza ku-comment ni kwamba Samia ni raisi asiye jielewa
Full stop.
 
Endelea kutukana, ila hujui nguvu ya unayemtukana. Heshima ni kitu kidogo sana, vyema kukaa kimya, usifikiri JF ni sehemu ambayo jina lako halifikiki, JF hawana security yoyote ya kutokufikia!! Security yake ni ndogo sana

Hii ni Tasisi kubwa yenye watu wengi, utafikiwa tu!
 
Oyaa hii imekaaje hapa?
Kuna kitu kidogo nimeona kama hakipo sawa au ndio sielewi.

Mama Samia akiwa Marekani alikuwa akisalimiana na viongozi wa huko kwa kushikana mikono(picha namba 1,2,3) , Ila le baada ya kuja Tanzania leo hawakushikana mikono na viongozi wa hapa makamu wa raisi, waziri mkuu na makamu mwenyekiti wa CCM badala yake wakapeana salamu za kukunja ngumi(picha namba 4,5). Sababu ni ugonwa wa corono hivyo kushikana mikono sio salama na ndio maana wamesalimia na hivyo.

Bado najiuliza Ina maana wa nje ya nchi huko wao hata ukishikana nao mikono hauwezi kupata corona?

Na pia bado mm nachanganyikiwa zaidi, Ina maana ukiwa kwenye kundi la watu flani huvai barakoa na ukiwa kwenye kundi la watu flani unapaswa kuvaa barakoa?

View attachment 2203456View attachment 2203458View attachment 2203466View attachment 2203467View attachment 2203469

View attachment 2203457

View attachment 2203459

View attachment 2203460

Dah sielewi hata mim kaka😀
 
Mi nachoona ni kwamba Marekani hakuvaa barakoa kwa sababu hakuna corona na wote wamechanja ila bongo yawezekana kuna watu wawili wakubwa hawajachanja.
Walichanja na tuliona live siku ile, labda Kama wote walituongopea. Ila sidhani
 
Unataka kusema makamu wa raisi, waziri mkuu na Kinana hawajachanja? Au hatuaminiani?
Lack of exposure, ungekuwa unatembea tembea kidogo nchi za watu hili ungelielewa vizuri.

Kwakuwa lengo lako nu kumnanga mama ili upate faraja, granted.

Jimwage mkuu uwanja wako, mimi naanza mama anaringa sana, anatudharau.😄😄
 
Lack of exposure, ungekuwa unatembea tembea kidogo nchi za watu hili ungelielewa vizuri.

Kwakuwa lengo lako nu kumnanga mama ili upate faraja, granted.

Jimwage mkuu uwanja wako, mimi naanza mama anaringa sana, anatudharau.
Mkuu umeamua kwa makusudi kubadili lengo, umesema huko nje viongozi wote wamechanja. Mm nikakuuliza ina maana hapa kwetu waziri mkuu, makamu wa raisi na Kinana hawajachanja?
Umebadili gia
Ni kwa nn mpo too defensive hata kwa vitu vya kawaida sana?
 
Back
Top Bottom