What exactly is her vision for the country?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,232
113,610
I think it’s now fair to ask; what exactly is her vision for the country?

I’ve been racking my brain for over a year now trying to figure out what exactly this regime of Samia Suluhu Hassan wants to do for the country and I can’t seem to understand it.

The country has a lot of pressing issues but she’s busy gallivanting the world like nobody’s business.

Like filming a documentary and going away for two weeks just to promote it.

Is this a priority for a head of state? Someone please make it make sense!!

The country is riddled with graft, bribery, and corruption- which in my view are more pressing than promoting tourism.

She is not even striving for good governance.

She is not prioritizing revenue collection nor striving for autarky. She seems to be very happy for the country to continue being a recipient of foreign aid.

Has she articulated any policies or policy changes for good governance? Is she even capable of doing that?

She is just happy to be there. Happy to play a leading role in some ridiculous documentary that will be forgotten in no time and which will not have any impact whatsoever.

Badala ya kujikita kwenye kujenga mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji, kama kupambana na rushwa, kutengeneza sera rafiki kwa wafanyabiashara, kupambana na rushwa kwa dhati kabisa, kujenga miundombinu imara, n.k., yeye yuko bize na usanii wa sinema.

Naye kawa bongo movie siku hizi.

Bure kabisa.
 
Hatuangalii hayo tunataka raisi anaye jali watu.

Aliyeua, kuteka wala kupiga watu risasi KISA anatofautiana nao mitazamo hatutaki.

Hatutaki raisi anateamuni kwenye maguvu, 21th unapeleka jeshi kupora watu korosho zao. Watu ambao hujawasaidia hata kufyeka unyasi huyo hatutaki.

Hatutaki raisi anayeamini kwenye ULOZI. yaani ugonjwa kama Covd 19 yye alisistiza watu wajifukize hatutaki.

Raisi anayebagua watu kwa ITIKADI ZAO ZA KISIASA. eti hapeleki maendeleo KISA tumechagua mpinzani hatutaki
Asiyeheshimu chaguzi. Wananunua watu waliochaguliwa kisha anawarudisha hapohapo. Hatutaki.

Note:
Anyekerwa sana aufuate ushauri wa ZITTO Kabwe
Acha bongo movies hata akiwa bongo flavor tunataka raisi MTENDA HAKI.
Asante mungu
 
Amedhamiria kujenga nchi na taifa lenye umoja, mshikamano, ushirikiano, kuaminiana, uhuru wa maoni na furaha kwa kila mmoja.

Kufanikisha haya amesema anaongozwa na kujenga maridhiano na mazingira bora ya kisiasa nchini, kujenga uvumilivu na ustahimilivu, kufanya mageuzi ya kweli na kuendelea kujenga Nchi.

Tumpe ushirikiano Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani mwanga umeanza kuonekana na matumaini ni makubwa kuwa kesho ya nchi yetu na sisi sote ni njema! #SamiaMitanoTena
 
Hatuangalii hayo tunataka raisi anaye jali watu
Aliyeua, kuteka wala kupiga watu risasi KISA anatofautiana nao mitazamo hatutaki.
Hatutaki raisi anateamuni kwenye maguvu, 21th unapeleka jeshi kupora watu korosho zao. Watu ambao hujawasaidia hata kufyeka unyasi huyo hatutaki.
Hatutaki raisi anayeamini kwenye ULOZI. yaani ugonjwa kama Covd 19 yye alisistiza watu wajifukize hatutaki.
Raisi anayebagua watu kwa ITIKADI ZAO ZA KISIASA. eti hapeleki maendeleo KISA tumechagua mpinzani hatutaki
Asiyeheshimu chaguzi. Wananunua watu waliochaguliwa kisha anawarudisha hapohapo. Hatutaki.
Note:
Anyekerwa sana aufuate ushauri wa ZITTO Kabwe
Acha bongo movies hata akiwa bongo flavor tunataka raisi MTENDA HAKI.
Asante mungu
Una hakika hakuna kusafisha nyota wala kuroga? Haya wee..
 
Kwa wapumbavu kama nyie!

Kufikiri kwamba kila anaekosoa anakosoa kwa ajili ya kumtetea Magufuli ni utaahira mkubwa!
 
Hana, kwanza swali lilipaswa kuwa how did she come to power ? Yuko kwa ajenda maalumu na siku zinvyozidi kwenda mtaanza kuona, hata huko US alienda kwa ajenda maalumu hiyo filamu mnazugwa tu.

Kwa nini hana sympathy wala empathy au hata respect tu kwa Raisi aliyefariki ambaye walifanya wote kazi kwa miaka zaidi ya 5? Hata tu basi for Magufuli‘s Family ? Kwa nini unafikiri?

Magufuli alimkosea nini kikubwa kiasi hicho kumfanyia anavyomfanyia hata baada ya kufariki tayari?

Ni NWO Agenda na Tanzania inageuzwa Guinea pig, experiments zote zitafanyiwa Tanzania.

Muda siyo mrefu Experiments za akina Bill Gates zitaanza Tanzania, ebola viruses, corona viruses &Co.

Moja kati ya Globalist Agenda ni Human depopulation, au kupunguzwa watu kwa nguvu, na hiyo inakuja.

Pure evil!
 
When your elevator doesn’t go all the way up to the top, you resort to stupid and silly one- liners like that.
Woyo woyooo. Za kichwa

IMG_20220424_220618.jpg
 
Hana, kwanza swali lilipaswa kuwa how did she come to power ? Yuko kwa ajenda maalumu na siku zinvyozidi kwenda mtaanza kuona, hata huko US alienda kwa ajenda maalumu hiyo filamu mnazugwa tu.

Kwa nini hana sympathy wala empathy au hata respect tu kwa Raisi aliyefariki ambaye walifanya wote kazi kwa miaka zaidi ya 5? Hata tu basi for Magufuli‘s Family ? Kwa nini unafikiri ?

Magufuli alimkosea nini kikubwa kiasi hicho kumfanyia anavyomfanyia hata baada ya kufariki tayari?

Ni NWO Agenda na Tanzania inageuzwa Guinea pig, experiments zote zitafanyiwa Tanzania.

Muda siyo mrefu Experiments za akina Bill Gates zitaanza Tanzania, ebola viruses, corona viruses &co.

Moja kati ya Globalist Agenda ni Human depopulation, au kupunguzwa watu kwa nguvu, na hiyo inakuja.

Pure evil!
mmmmmhhh
 
Vision ya Samia ipo clear, kuifungua nchi

Kuifanya nchi iwe rafiki kwa wawekezaji na wafanyabishara ili kukuza uchumi kwa kasi zaidi na kuboresha maisha

Na kuifungua nchi ni pamoja na kuitangaza, Rais ana serikali yake inayomsaisia katika hayo masuala mengine uloyotaja
 
She stated 4R's-Reconcilliation na nini zingine sijui nimesahau

Nchi ni mifumo
Ipo ama haipo?

sio uwepo wa Rais direct on a daily basis

And if she is visionless whatchu gon' do anyways😅??
Take her seat or nothing..?
 
Back
Top Bottom