mdachi mdachi
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 107
- 130
Naam kama kichwa habari kinavyojielewa sote tumeshuhudia Zambia mpinzani akichukua nchi bila Katiba Mpya
Nawashauri CHADEMA waache uvivu wa kufikiri kwa kudhani kuwa Katiba Mpya ndio itawafanya waingie Ikulu kama bibi harusi anavyoingia chumbani kwa bwana ake.
Angalieni mnakosea wapi mrekebishe na siyo kutafuta visingizio, tafuteni agenda zinazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.