TTCL Tanzania mnaruhusu vipi special number kwa mtu ambaye sio mhusika wa hiyo namba?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
TTCL Customer Care Tanzania nyie ni wapuuzi sana

Nimefuatilia muda mrefu na nimegundua mnaruhusu wateja wasio wahusika wa alama za vidole kutumia special namba ya mtandao wenu kutoka kwa namba za mitandao mingine.

Kwa nini mnaruhusu hii kitu?? Mnashida ya wateja,mnatafuta umaarufu au masuala ya mtandao wenu ndo yanaruhusu hivi mtu kutengeneza special number za mitandao mingine kwa kiuganishi chenu cha 073?

Leo hii matepeli wengi wa tuma kwenye namba hii na wale wa jiunge na freemason wanatumia namba zenu TTCL Customer Care Kututumia msg zao za kipumbavu na wizi!

Wee mkurgenzi wa TTCL Tanzania umeshindwa kung'amua hili au unajiona unakula na kunya kwa Kodi zetu hadi Leo hii mtu anaiba namba za mitandao mingine na kusajili huko kwenu?

Acheni upuuzi lindeni mtandao wenu mnalipwa Kodi zetu why hamna ulinzi wa kutosha kwenye mtandao wenu mbwa nyie TTCL Customer Care
 
Back
Top Bottom