Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Wakati wa JPM hakukuwa na upigaji lakini sasa ni balaa tupu. 2. Wakati wa JPM hakukuwa na mfumuko wa bei za vitu lakini sasa ni balaa tupu. 3.Wakati wa JPM Watanzania walipata huduma katika...
15 Reactions
32 Replies
2K Views
Huu ni ushauri kwa Rais wetu kipenzi Cha Watanzania, mama Samia Suluhu Hassan. Nafahamu kwamba pamoja na Mambo mengine serikali ya mama Samia ina nia njema ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Binafsi nawashangaa wanaoshangazwa! Siwezi kushangaa kwa sababu zifuatazo 1. CCM Ni ile ile! 2.Katiba Ni ile ile! 3. Ufisadi hautatoweka kwa mapambano ya mtu mmoja. Watanzania hawajaacha...
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Uchumi kilema wa nchi unaongeza maumivu kwa vijana na wafanyakazi wa nchi yetu; _Uchambuzi wa mwenendo wa ukosefu wa ajira na maslahi ya Wafanyakazi Nchini kuelekea siku ya Mei Mosi 2022...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi. Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi. ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu "...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Shaka: Kibali Rais Samia kusafiri nje amepewa na CCM MONDAY DECEMBER 06 2021 Summary Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kibali cha kusafiri nje...
9 Reactions
112 Replies
7K Views
Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka. Mtu amefukuzwa kazi au mkataba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mtonyaji wangu yuko karibu na jikoni yaani cm chache kutoka jikoni, nilikuwa nachonga naye Arusha hapa yuko kwenye Sekita ya Utalii Idara ya Ujasusi na alikuwa bega kwa bega kwenye uandaaji...
30 Reactions
161 Replies
11K Views
Mheshimiwa Spika, Maeneo mengi muhimu ya kijamii na kiuchumi kutotungiwa Sheria mahsusi na badala yake kutumika matamko ya baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali (a) Mheshimiwa Spika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na...
16 Reactions
47 Replies
4K Views
Hongera na asante Baba Askofu Dkt Benson Bagonza kwa kuamua kusimama na Rais wako aliye mnyenyekevu, === Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Benson...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Hawawezi kuchafua royal tour na hizi ni issues tu kama ambavyo kila nchi Ina issues zake... Hapo sijaona Jipya; dunia nzima inajua Tundu Lissu alipigwa risasi, katiba mpya Wala sio issue mpya...
11 Reactions
163 Replies
9K Views
Wanabodi na wanajukwaa tunakumbuka mwaka jana2021 baada ya kifo cha mwendazake kwenye meimosi watumishi walihisi kupata ahueni baada ya kuja mama mwenye huruma,Mh rais Samia Suluhu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano...
11 Reactions
87 Replies
7K Views
Dodoma, Jumapili 17/4/2022 Vita ni shida. Vita ni taabu. Vita ni balaa. Nani angeweza kutabiri kwamba vita kati ya Urusi na Ukraine ingeathiri uchumi na kuvuruga mipango ya maendeleo ya serikali...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Tundu Lissu alipigwa risasi 38 kati ya hizo 16 zilimwingia mwilini na kuchana chana sehemu ya mwili wake. Alipelekwa Hospitali akiwa hoi bin taaban. Alisaidiwa katika Hospitali ya Dodoma na...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Miaka kama miwili iliyopita kasi za kikundi cha "Wasiojulikana" ilikuwa ya juu ajabu. Kulikuwa na tetesi nyingi kuhusu nani hasa walikuwa nyuma ya hiki kikundi, na mengi sana yalisemwa. Kwa wengi...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Watanzania tuwe makini ... Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Kwa muda wa wiki mbili ambazo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekuwa nchini Marekani katika shughuli za Kiserikali ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa filamu ya...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Jimbo la Mtama liko Mkoani Lindi , Mbunge wake wa sasa anaitwa Mh Nape Nnauye aliyepita bila kupingwa kwenye uchaguzi Mkuu wa 2020 , kabla ya hapo Nape alikuwa Katibu wa Uenezi wa CCM Taifa , kwa...
34 Reactions
89 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…