Mwacheni Magufuli aitwe Magufuli

Mwacheni Magufuli aitwe Magufuli

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,622
Reaction score
3,147
1. Wakati wa JPM hakukuwa na upigaji lakini sasa ni balaa tupu.

2. Wakati wa JPM hakukuwa na mfumuko wa bei za vitu lakini sasa ni balaa tupu.

3.Wakati wa JPM Watanzania walipata huduma katika taasisi za Serikali kwa urahisi kabisa lakini sasa ni balaa tupu.

4. Wakati wa JPM wapigaji walikalia kuti kavu lakini sasa ni balaa tupu.

5. Wakati wa JPM vibaka pamoja na PANYAROADS walitokomezwa lakini sasa ni balaa tupu.

RIP, JPM, MWANA AFRIKA NA MZALENDO WA KWELI.
 
Unaurudisha rudisha huu uzi ukidhani dhalimu atapata millage?
 
Kila siku unarudia kuandika upuuzi ule ule! Mheshimiwa, uko sawa kweli? Kama umepigika sema tukuchangie ili maisha yaendelee.
 
una uhakika gani kipindi chake hakuna wizi kipindi cha magu kulikuwa upigaji sana tu hata mayanga ulikuwa ni upigaji

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wakati wa Jiwe wafanykzi waliganda, walifukuzwa kzi, mauaji, waliojulikana,1.5T ziliyeyuka, machinga IDs hela hazikuingia hazina, nk nk
Acha jiwe aitwe jiwe.
Akawaongoze malaika
Bila kusahau wauza madawa ya kulevya kufurumushwa, wazee wa mavyeti feki kutimuliwa nakadhalika.

Na pia majizi ya tembo yalitokomea kwa kasi ya radi.

Taarifa imfikie Kuu lao KINANA— Baba lao, a.k.a Komredi uchwara/KAMARADA.
 
Unaurudisha rudisha huu uzi ukidhani dhalimu atapata millage?
Hata chakula unachokipenda sana unaweza kula chakula hicho muda mrefu bila kubadilisha.
 
Bila kusahau wauza madawa ya kulevya kufurumushwa, wazee wa mavyeti feki kutimuliwa nakadhalika.

Na pia majizi ya tembo yalitokomea kwa kasi ya radi.

Taarifa imfikie Kuu lao KINANA— Baba lao, a.k.a Komredi uchwara/KAMARADA.

Mkuu hizo paragraph mbili za mwisho umepiga kwenye mshono…naomba uchukue fomu dodo linaweza likakuangukia…Magufuli ataishi milele…
 
Hata chakula unachokipenda sana unaweza kula chakula hicho muda mrefu bila kubadilisha.

Hakuna mwenye tatizo na unachokipenda, tatizo ni kuamini kila mmoja anapenda unachokipenda.
 
Kila siku unarudia kuandika upuuzi ule ule! Mheshimiwa, uko sawa kweli? Kama umepigika sema tukuchangie ili maisha yaendelee.
Inaonekana wewe ni mmoja wa wanaoogopa likitajwa jina"MAGUFULI"
Maana siku hizi JPM anawatikisa na kuwayumbisha hata wale wa ngazi za juu.
 
Back
Top Bottom